CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
- Thread starter
-
- #21
Hapo ndo akina dada mnanichosha kabisa mtu mnajua kabisa kuwa mnachezeana alafu unukuwa na mawazo yako binafsi kuwa utaolewa kweli kazi mnayo
Nikajua umesimamia msimamo wako! Mshauri mtu hapo anataka kutemwa kwasababu ya kuishi nje ya Tanzania
Charminggirl haitaji ushauri wangu, anaruka posti kama vile hajaiona kwa
hio sidhani kama atatanyia kazi. Sema kirusha roho changu.. mie aku nilikua nakusalim tu.
Aku ya nn tena? Inaelekea unamuogopesha mtoa mada. Toa ushauri utazingatiwa
Mwenzie alimuona kama njia, maskini shostito alikua kafika? hayo sio mambo ya kujaribiana ati!
hahaa,kaz kwake shost. me mtu hajaja kwetu huwa cna guarantee nae hta dk 1!
kwani rafiki yako bado anampenda jamaa? akubali tu matokeo na harusi achangie,its all life bana,asonge mbele wapo wengi wa kumuoa.shost yangu katumiwa sms na bf wake ya kumuomba mchango wa harusi. walikuwa wapenzi pindi wapo chuo baada ya kumaliza chuo kila mmoja akarudi kwao. mkaka kwao ni dsm na mdada kwao ni mkoan. thou hawakuwa na promise za kuoana bt mkaka kamstukiza.je mkaka atakuwa serious au anamjaribu?shost kachanganyikiwa.ushaur plz!
ndo hivo sasa keshatoswa,yeye asonge mbele tu,kwanza hajui Mungu kamwepusha na nini,ndo matatizo ya long distance mahusiano haya,mi wa kwangu huwa ni kubanana full time,simpi fursa ya kupumua.Bishanga, yan shost anampenda jamaa kweli. mpk sasa bdo hajaamini. anahc jamaa anamtania!
hilo hasa ndo neno,ya nini kulazimisa mambo?ni kweli usemayo huenda Mungu kamuepusha na kitu flan kwa huyo jamaa. afu kitu kingne sisi binadamu huwa hatukubali matokeo.mf. ktk ndoa kila mtu ashapangiwa wa kwake ila hatuwez fahamu wewe/mimi tumepangiwa mume/mke gan. tunalazimisha mwisho wa siku tunabaki kuumia tu! Bishanga