Mshenga!!!!!

Katavi unaleta utani sasa eehhh hebu tulia
Sio utani ni katika kujua, maana sijui a wala be ya ushenga. Vipi baba mzazi nae anafaa kuwa mshenga au hairuhusiwi?
 
Pamoja na maadili lakini ni muhimu kuwa kabila la mwanamke watamwambia alete mbegu za bangi (kwa shemeji zangu wakurya) anabaki kushangaa lazima ajue mila zao bana wewe vipi subiri muda wako ukifika

Ha ha ha, hapo na mwanmke naacha maana atakuwa mtambo tu huyo
 
duh! katavi.................
 
bahati mbaya mimi muoaji nilikuwa ndo nilibagain mahali na wazazi wa bint.......ila kwa huku bongo lama unataka kuoa inabidi umtafute mtu mwenye heshima zake ..mtu mzima..akiwa amea itakuwa safi sana
 
Mshenga (go between) pamoja na kuwa mtu mwenye maadili pia PR(public relation) iwe nzuri.Sidhani kama ni lazima kuwa wa kabila unakochumbia,lakini ufahamu wa mila na desturi la kabila ni muhimu mno!Ni vizuri akawa mtu ambaye anakuelewa kwa undani na pia anafahamu lugha za picha kwani katika suala la vikao vya ndoa,wazee wengi hupenda kutumia lugha zilizojificha(not straight forward) hivyo yahitajika kuchanganua kidogo!Mfano wanaweza kuhitaji ng'ombe mia,japo hawamaanisha lazima iwe mnyama!
Nadhani kidogo inatoa picha!
 
<p>
Bado sijaoa babu, nipe uzoefu basi mshenga anatakiwa aweje? Nikikwama hata wewe utafaa kuwa mshenga!
</p>
<p>&nbsp;</p>

mhh katavi miaka .... mpaka leo hujaoa? sikiza mie nishawahi kuwa mshenga swala la kabila halijalishi wala jinsia sema watu wamekariri tuu ilimradi ukaongee maneno ya busara
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>

mhh katavi miaka .... mpaka leo hujaoa? sikiza mie nishawahi kuwa mshenga swala la kabila halijalishi wala jinsia sema watu wamekariri tuu ilimradi ukaongee maneno ya busara
Kuna kujipanga ndugu yangu!
 
Bado sijaoa babu, nipe uzoefu basi mshenga anatakiwa aweje? Nikikwama hata wewe utafaa kuwa mshenga!

Threads zako katavi zinanichanganya maana zingine unaomba ushauri wa ndoa yako ktk suala la mkeo kununa, mara zingine unaomba ushauri wa masuala ya mshenga. Nami pia nilijua umeoa tayari.
 
Threads zako katavi zinanichanganya maana zingine unaomba ushauri wa ndoa yako ktk suala la mkeo kununa, mara zingine unaomba ushauri wa masuala ya mshenga. Nami pia nilijua umeoa tayari.
Ahahahaah!! Sijaoa mkuu ile ya mke kununa, sio mke wangu ni mke wa rafiki yangu, isome vizuri!! Hakuna thread yoyote humu ndani ambayo nimesema nimeoa, ni imaginations tu za members, labda kwa ushauri ninaotoa hapa ktk jukwaa hili...ll!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…