Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!!

Mwanaume huwa hasusi................We vipi bana!
Hizo bahati huwa mie sizipatagi....................LOL


Shauri yako. Shukuru kwa hilo gundu vinginevyo iko siku utaikimbia hiyo miwani!
 

Isije ikawa ni huyu niliyemtema kama wiki mbili zilizopita ingawa yeye ki english hawezi kukiandika vizuri labda kama ameandikiwa na rafiki yake kwenye hiyo sms aliyokutumia. Kama ni yeye andaa pochi mapema maana ata recite a litanny ya matatizo na mahitaji katika kikao cha kwanza mtakachofanya. Good day sir.
 

Akili za mbayuwayu, changanya na zako. Sasa sisi tukushauri nini mkuu. Kama umeamua kuleta thread hii hapa jukwaani kwa ajili ya ushauri kuhusu huyu mrembo, wakati taa za kijani zimeisha waka, maana yake nini?
 
Nenda kamsikilize labda mama yake alikuwa mgonjwa, hata mind ilikuwa haifanyi kazi. Dont conclude
 
Senetor, usiogope kukaa na kuongea naye maana ni kwa njia hiyo utaweza kumfahamu zaidi.
Nakushauri agenda iliyomfanya alipuke isiwe kipaumbele kwako, wala usiianzishe, hata akiinzisha wewe ipotezee tu.
Kwa njia hiyo na kuwa marafiki (rejesha urafiki uliopotea) baada ya muda utaijua vema tabia na hekima yake.
 

mwanangu mwenye bila shaka hiyo message lazima uitengenezee folder kila siku utakuwa unaisoma three time per day ,,,kuwa mvumilivu usimshobokee awa vichwa vyao vinakuwa kama vimewekwa washawasha,,,,,bila shaka kachezea kibuti sasa anataka kujipoozeshea kwako ila kwa muda wote nauhakika utakuwa ushapata chombo kingine.......bestieeee wisheees
 
kijana!hebu niambie unataka ushauri gani?jinsi ya kwenda au jinsi ya kumuepuka?moyowako unatakaje?siku hizi namshauri mtu kulingana na mahitaji yake!
 

Mtafute akupe hiyo hard time yake tena umpe pole then umsome from there kuwa ni kweli au ametemwa
 
Hehehe ngoja mkikutana unamkumbushia khs ombi lako afu akwambie,“hee achuali nimekuita kukwambia nina mtu wangu nampenda sana afu so usinisumbue na vimeseji meseji vyako my boyfriend anamind vinatusababishia ugomvi“!!
 
kwa hiyo na me nimkaushie tu sio?

Tit for tat, mjibu kama alivyokujibu wewe na kama unayo msg yake aliyokutumia forward it to her.

Anza na hivi: jee unaikumbuka msg hii?

Labda kama bado umemzimikia lakini huyo akirejewa na huyo aliyemdump na wewe vitakurudia.
 

We mega lakini usiingie kichwakichwa,akzingua mteme.
 
Nenda kale mzigo fasta kaka, thenafter umkaushie kabisa.
Mademu wa ivo ni kuapply EAT and RUN formular
 
Mwanaume huwa hasusi................We vipi bana!
Hizo bahati huwa mie sizipatagi....................LOL

Sio suala la bahati hapo. Na huo uzee wako nani akutake? Njoo tu huku kwa vibabu wenzako tukumbushane yale maneno yetu ya zamani..........kiboksi manyoya, mbu*la na mengineo. Wenyewe huwa wanadai hawataki vizee huwa hawachelewi kukuletea kesi ya kuua mtu ndani ya guest/hotel au ile tabia ya 'kula chakula mara moja kwa mwezi' au mara tu baada ya 'kula' chakula mtu unatoa mlio wa kuchoka utadhani unakata roho!
 
Nashauri utafute mahali umuinvite ila anzia ANGAZA kwanza asije akakuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…