Mshikaji wangu alivyonipeleka kwa mganga na kuniacha na mshangao

Mshikaji wangu alivyonipeleka kwa mganga na kuniacha na mshangao

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Mambo vip?

Hakika tembea uone,

Siku moja mshakaji wangu ile ile aliniambia kuna rafki ake alikua akifanya nae biashara kkoo amemuunganisha na mtaalam kutoka shinyanga huku ambaye ni hatari balaa kumsaidia mambo yake....

Mshakaji wangu anachangamoto ya kutopata mtoto na kutofanikiwa kwenye dili zake kubwa kubwa so probably nilitegemea ivo ndo vitu vya msingi tunaviendea...

Basi akanishawishi na mm niende nikaweke mambo sawa, nikaona sawa na jinsi mambo yalivyo ngoja tuu nimsapoti mwanangu maana ndo ananiweka mjini.

Basi wakati wa kutengenezwa jamaa anaambiwa anataka nn ili amsaidie... mshkaji wangu akataja mambo mawili sasa ilo jambo la pili ndo liliniacha hoi...

Moja alitaka asafishwe nyota nikaona ni sawa ila jambo la pili anataka nyota ya kupendwa na made.u yaani kila demu anayemtaka asikataliwe yaani awe ka mfalme mswati mademu wajigonge wenyewe 🙉🙉🙉 nilishtukq na kushangaa saana yaaani

Yaan mtu ameoa badal apambane na maisha au kupata uzazi ye anawaza kutongoza daaah kweli tumetofautiana akili yaani jamaa kili nikiliangalia libichwa lake likubwa alafu hamna kitu naskitika saana... midemu yenyewe inataka mpaka kutubaka mtaani yeye anaendea kuyarogea...

Wanaume tuachekuendekeza ngono ni ufala saana...

#next nitakuja na matokeo yake
 
tunasubiri matokeo tuone kama huyo mganga alikua tapeli au sio tapeli.
 
Back
Top Bottom