Ha ha ha haaaaaaaaa.....ila wewe, unanivunja mbavu sana...ww si ndo ulikuwa unakimbizana daily kwa ontario kwenye ule mgorofa huku ukiwa umebebelea Toshiba yako..Duh jamaan
Usitumie nguvu nyingi kusema we una hela ,acha hela yenyewe iongeeeeNakuacha tu uamini hivo.... ningekuwa nmekatwa kichwa ningekuwa nimeshaanza kuuza kitu kimoja kimoja.
Kwanza nina uhakika thamani tu ya simu yangu ni hela ambayo unaisotea kwa miezi kama siyo mwaka unaisha haujaishika kwa mara moja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaopata hasara kwa kununua hisa (shares) hela zao huwa zinaenda kwa Nani mkuu ??Kwenye forex ukila unakula hela ya nani na ukiiunguza account (kuliwa) hela inaenda Kwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
kamisheni ndo zinawafanya watoe POVU KUTUAMINISHA FOREX KUNA FAIDA YA KUFA MTU.Unataka kutuambia Bank kuu huwa wanatrade?
Yale mahati fungate huwa wanayatoa ya nini sasa?
Mnawaambukiza watu ugoro wakiibiwa mpate kamisheni!!!
SwagaKwa wale scalpers ni muda kusell eurgbp, nitaenda na lot size ya 0.80 , hii hela itakuwa kwa wanajamvi wote humu.
Kama uko na Mt4 twende kazi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jipea naliogopa ka nini, liba mi-candle ka nguzo za umemeKwa wale scalpers ni muda kusell eurgbp, nitaenda na lot size ya 0.80 , hii hela itakuwa kwa wanajamvi wote humu.
Kama uko na Mt4 twende kazi sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eurgbp na eurgbp ndio zitanipa tuhela twa mboga Leo ... Ni kusell tu.
Sorry eurusd na eurgbpEurgbp na eurgbp ndio zitanipa tuhela twa mboga Leo ... Ni kusell tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
EURGBP hata haikimbii... inaingia katika pairs ambazo zina very low ADR....
Boss huwezi kuwa serious hebu ingia kwenye mt4 yako linganisha candlestick za eurgbp na gbpaudEURGBP hata haikimbii... inaingia katika pairs ambazo zina very low ADR....
kutana na pairs kama GBPNZD na GBPAU
Sent using Jamii Forums mobile app
Naww nakupa assignment... tumia crosshair pia idadi ya pips kwenye candlestics ambazo zinafanana urefu kwenye gbpaud na eurgbp....Boss huwezi kuwa serious hebu ingia kwenye mt4 yako linganisha candlestick za eurgbp na gbpaud
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi ndio nimekuelewa boss shukraniNaww nakupa assignment... tumia crosshair pia idadi ya pips kwenye candlestics ambazo zinafanana urefu kwenye gbpaud na eurgbp....
Simple tu ni kwamba GBPAUD inaweza hata kwende 200pips kwa siku... Hiyo Eurgbp nitafutie siku ambayo imetembea hata 150pips....
Sent using Jamii Forums mobile app