Hujaambiwa kutoa salio la akaunti yako. Tuambie una nini ktk hiyo forex.Hujui unachokitaka...unataka account za watu ukiombwa zako inageuka show off....we hata sio verified au maarufu sana jf kiasi useme wengi tutakujua....dondosha salio la account tujue daudi anaporojo tu au vipi?
Mkuu hata ukiwekewa magari, nyumba bado hakutakuwa na ushahidi wa moja kwa moja kwamba aliyekupostia hizo mali ni zake au kweli zimetokana na forex. Cha muhimu wewe endelea kuamini kile unachoaminiHata watu wa bitcoin wanaweza kukuconvice ktkt bitcoin wanakuonesha magari ya kifahari ,mansions,yatchs n.k. ktk biashara. Sasa watu wa forex aje mtu atuone
Hata mtu akitaka kukushauri ulime anaweza kukwambia mwaka jana nilikua na shamba ekari kadhaa nikalima kitu flani nikavuna nikauza nikapata pesa kiasi kadhaa.nikanunua gari au nyumba n.k.
Case closed.Mkuu hata ukiwekewa magari, nyumba bado hakutakuwa na ushahidi wa moja kwa moja kwamba aliyekupostia hizo mali ni zake au kweli zimetokana na forex. Cha muhimu wewe endelea kuamini kile unachoamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Umaskini ni maradhi.Watu maskini wana wivu sana.Mwenzio dollar 2000 anatengeneza in two days.Wewe unatengeneza ngapi mkuu?[emoji3]Mtu anatamba na dola elfu 6000 .dah ila kuna watu hata milioni hawajawai kushika. So sad [emoji22]
Huyo jamaa akionesha account yake yenye walau million 6 Mimi naacha kufanya forex..Una matatizo kichwani wewe. Kwa hiyo hela zote zinatunzwa kwenye mt4? Au unatamani uonyeshwe bank account? KAMA HUWEZI KUTRADE FOREX KAUZE VIBAMIA BWANA UNATUCHOSHA TU HUMU JUKWAANI!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa akionesha account yake yenye walau million 6 Mimi naacha kufanya forex..
Maana kila challenge nimempa kashindwa. Labda hii ataiweza. Hahaha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama msukule kama huu unaongozwa na magufuli, basi mheshimiwa raisi ni moja ya maraisi wenye kazi ngumu duniani. Ni bora ufuge Bata kuliko kufuga Msukule kama huu ukitarajia ni mwananchi atakaeleta maendeleo.Utaombwa na withdrawal muda si mrefu...
Hata matajitri wakitaka watu watoke ktk umaskini huwa wanaeleza walipotoka mpaka walipofika ktk utajiri. Walianzaje ,walifanya nn mpaka wakapata utajiri. Hapa ni sawa sawa na mtu anakwambia nina bilioni moja ipo benki halafu ana maisha ya kawaida tu.Umaskini ni maradhi.Watu maskini wana wivu sana.Mwenzio dollar 2000 anatengeneza in two days.Wewe unatengeneza ngapi mkuu?[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaefanya business weka account yako yenye million 6 tu.Hata matajitri wakitaka watu watoke ktk umaskini huwa wanaeleza walipotoka mpaka walipofika ktk utajiri. Walianzaje ,walifanya nn mpaka wakapata utajiri. Hapa ni sawa sawa na mtu anakwambia nina bilioni moja ipo benki halafu ana maisha ya kawaida tu.
Ili na sisi tuingie ktk forex naomba atokee mtu atueleze tangu alipoanza forex na mafanikio aliyopata mpaka sasa. Unless otherwise watuambie unapata pesa ya kawaida tu ambayo mtu wa kawaida anapata na si kutuaminisha kwambwa forex itakufanya uwe tajiri.hizi usd 6000 ,7000 ni pesa za kawaida kwa mtu anayefanya business.
Huyo jamaa akionesha account yake yenye walau million 6 Mimi naacha kufanya forex..
Maana kila challenge nimempa kashindwa. Labda hii ataiweza. Hahaha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali kwa hoja. Toa ushuhudaWewe unaefanya business weka account yako yenye million 6 tu.
Ukute una deni Tala na Vicoba hapo ulipo. kuanzia Leo acha kudharau fx trader. Popote umuonapo weka heshima mbele kama hicho kitambi chako cha Wanzuki na Banana.
Narudia tena Mara ya mwisho weka Salio lako million 6.
NB: nakuruhusu kuweka hata Salio la M Pesa Basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri mshahara tarehe 39,[emoji1]Mkuu nimeomba
Mkuu nimeomba aje mtu wa forex atupe ushuhuda. Ni kama diamond aje aseme mziki unalipa halafu akwambie mafanikio aliyopata ktk mziki unaweza kumuelewa mziki unalipa.
Jibu swali kwa hoja. Toa ushuhuda
Chuoni Kuna jamaa angu ndio anataka atumie hela ya ada eti aizalishe kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha Eti we make bread,Haa. We make bread while sleeping.[emoji42]. The issue abt forex is still a mistery to me. Haa.
Bread=money