Hakika mkuu sijui hanioni mie ninavyoangaika na kuuza kiepe.Zero IQ : ndio upate picha kinachowatajirisha Manabii, mtu akijiita Nabii mwaka mmoja anaendesha Vogue, sbbu akili zetu wanajua kuzichezea kama iyo Forex
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongera mkuunipo kwenye huu mtangane tangia mwaka Jana ila saachi milele pamoja na vitasa ninavyopigwa ila naona kila siku naimprove
Sent using Jamii Forums mobile app
Prondo: iyo Forex ickie2 umu kwenye mitandao usiombe uwe na ndugu mwenye huo urahibu hta mkeshe mnamsii ni kazi bure2Naona kila mtu ndugu yake kauza kitu....
Wewe uliuza nini?
Ukaupoteza wote?Niliwekeza mtaji wa ile biashara yangu
Si jamaa yako msaidiee tuAkiviuza nitakupm mkuu ili ashike Adabu akija gheto kwangu namtimua
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini mkuu kila siku anaongelea mamilioni na huku anazidi kupukutika
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't bother, he is "every one". Remember FX is not for everyone.Alianza kama utani baada ya kurudi likizo ya semister ya mwisho huyu mshikaji wangu wa chuo sijui alikutana na nani huko kwao akamshauri kuhusu mambo ya forex,
Alivyorudi akanisimulia kuhusu hiyo inshu mi nilichomwambia ni kitu kimoja tu hiyo kitu ya forex mi nilishasoma sana mada zake huko Jamii forum kwa kina Ontario na kujua hasara na faida zake kuna watu wameunguza acount zao wanalia kilio cha mbwa koko hakunisikia,
Sasa bhana wale watu aliokutana nao huku wakawa wanamshauri anatoka dom to dar kwenye semina na darasa lao na kila akirudi story ni forex,forex na yeye,
Basi bhana miezi kadhaa imepita baada ya kutrade sana na ile acount ya dermal kafungua real Account kinachomkuta huko mi sijui naona tu kila siku anauza vitu,
Alianza na Laptop yake min, akafata desk top yake ,juzi kati kauza mtungi mkubwa wa gase pamoja na jiko lake, naona kabakiwa na friji pamoja na kitanda na ata hivyo naona analipigia mahesabu friji anataka kuliuza na hilo sasa sijui kimempata nini huko kwenye forex,
Daily nampa ushauri aachane na hiyo biashara yake ya forex naona hanisikii sasa mi nasubiri kuona mwisho wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!Prondo: iyo Forex ickie2 umu kwenye mitandao usiombe uwe na ndugu mwenye huo urahibu hta mkeshe mnamsii ni kazi bure2
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaupoteza wote?
Duh.....ulikurupuka.Yeah plus savings nyinginezo
Ata biko kuna wanaokula na kuliwa mkuuMbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!
Sasa tatizo nini?
Tatizo ni kwamba Akili yake kumkichwa ni Robo daily analiwaSasa tatizo nini?
Muache hela si zake? Au yuko under 18?
Wacha wale2 ndugu, kwani hta heroine c ni kilevi htr zaidi lkn wapo wanaotumia daily, lkn kwangu mimi Forex nimeona madhara yakeMbona humu tunaoneshwa screenshot za watu wanakula $$$ tu?!