Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Acha njaa wew [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kama beting tuu. Kila siku utakamuliwa buku hadi buku kumi ukiwa na matumaini iko siku mkeka utakaa sawa.
 
Nimefunga duka mpaka j3. Kuna watu wanpiga hela ndefu sana kwenye fx hapa hapa tz. Mafankio yako yanategemea bidii yako tu ya kujifunza na kuzingatia mambo yote muhimu ya fx. Kutoka jana mpaka leo nimeweza kupandisha balance kutoka USD 1227.49 mpaka 3045.16 bila strugle yoyote maana mi swingi trader. KWA LEO 1817.67 USD SI HABA!
 
Forex itabaki kuwa juu mawinguni.
ukiingia vibaya utaishia kuwa maskini wa kutupa ni Biashara isiyohitaji tuition Sio kipaji wala ubahatishaji inahusu zaidi uumbaji. Sababu inafanywa na wengi Ila inawanyookea wachache why This? unaweza kufanikiwa kwenye forex lakin Sio kazi rahisi.......kama huamini jaribu kuifahamu na uifanye kisha leta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui nilichomaanisha kulingana na ufinyu wa akili zako, toka nilipoanza hii biashara sijawahi acha , #utajiri ni imani
 
Hujui nilichomaanisha kulingana na ufinyu wa akili zako, toka nilipoanza hii biashara sijawahi acha , #utajiri ni imani
Jibu hoja kwa hoja ili nijue ulichomaanisha. Sasa hvi ulivyojibu ndiyo umenielewesha ulichomaniisha?
 
Kujelewa na kushindwa kupata elimu ya technology ipasavyo ndio inasababisha chochote kinachfanyika online ikihusu pesa ionekane ni SCAM but tunashndwa kuelewa kuwa ukiona uwezi forex, jaribu ata njia zingine kama Affiliate marketing ata kuwa Freelancer tatizo letu huwa tunakurupukaga sana tukisikia tu kuna mtu kapata pesa kupitia kitu fulani wote huko naona siku hizi mihemko ya AGRIBUSINESS imeisha kabisa
 
Eti mihemko ya AGRIBUSINESS hahahaaa
 
Zero IQ, kitachofata kwa huyo jamaa ni kilio cha mbwa koko[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kama beting tuu. Kila siku utakamuliwa buku hadi buku kumi ukiwa na matumaini iko siku mkeka utakaa sawa.
Nikikumbuka vortex walivopiga laki 8 zangu daah naonea huruma hawa wanaojiunga cjui forex mara ai global mara cjui ujinga gn
Zero IQ, kitachofata kwa huyo jamaa ni kilio cha mbwa koko[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa yangu kapewa na uwakala, sasa amefungua darasa la Forex, wakati yeye hata buku hana
Karibuni sana. Forex ni mkombozi wa kweli. Yani mshahara utoke usitoke sina shida, infact sijaenda hata bank kuangalia kama umetoka.

Natumia masaa machache ku trade, nikiset trade zangu naenda site kuangalia mafundi wanafanyaje kazi!!

Yaani raha mustarehe!!
 

We kaka hii ni Cent Account (yaani hapo profit ni $42.27?? Ama ni standard account

Na mbona kama unatumia ma-lot size makubwa makubwa sana, capital ni kiasi gani umeweka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…