Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
I'm doing Forex for years now , I can realy assure you that , shared account by you is not real one .. Its either demo or cent account .. Huna capital ya kuweka lot size ya 4.0+ ..Karibuni sana. Forex ni mkombozi wa kweli. Yani mshahara utoke usitoke sina shida, infact sijaenda hata bank kuangalia kama umetoka.
Natumia masaa machache ku trade, nikiset trade zangu naenda site kuangalia mafundi wanafanyaje kazi!!
Yaani raha mustarehe!! View attachment 1081325
Sasa mkuu, mi chalii yangu ana account ya $1000 na anatrade mpaka lot ya 0.9 kwanini huyo asifike huko?I'm doing Forex for years now , I can realy assure you that , shared account by you is not real one .. Its either demo or cent account .. Huna capital ya kuweka lot size ya 4.0+ ..
Nyie ndie mnadanganya watu Forex n utajiri wanaingia kichwa kichwa.
Isome vizuri hiyo picha. Sijawahi tumia cent maishan mwangu. Hiyo ni standard account tena ecn! [emoji23]We kaka hii ni Cent Account (yaani hapo profit ni $42.27?? Ama ni standard account
Na mbona kama unatumia ma-lot size makubwa makubwa sana, capital ni kiasi gani umeweka.
I'm doing Forex for years now , I can realy assure you that , shared account by you is not real one .. Its either demo or cent account .. Huna capital ya kuweka lot size ya 4.0+ ..
Nyie ndie mnadanganya watu Forex n utajiri wanaingia kichwa kichwa.
Kuna Dogo mmoja ni ndugu yangu nilimkuta na Dada mmoja wanaongea nikaenda kibaha nikarudi town nikakuta bado wapo wana ongea!!
Nikamuita nikamwambia Dogo vip huoni huyo Dada kakuzidi umri tafuta wa size yako utakufa mjini hapa!!
Akaniambia hapana broo sio hivyo ni Dada yake mshikaji wangu tuliyekuwa naye chuo!
Nikamwambia sasa mnaongea nini mda mrefu hivyo akaniambia Ana mwambia kuhusu hayo mambo ya forex [emoji134][emoji134] akaniambia ana mwambia akiweza kuanza na m3 itakuwa poa zaidi! Ukweli me mambo yenyewe sia juwi kabisa nina sikiaga juu kwa juu tu Ila kwa mizunguko yangu sio mtu wa kudanganywa Nika mwambia kamwambia broo amesema nikiingia Kwenya iyo kitu kichwa changu atakiweka kabatini!!
Adi leo sija muona tena yule Dada ilikuwa manzoni mwa mwaka Jana
Hatari Sana mkuu ni sawa na kamari usijaribu!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwann unasema sina capital mkuu? Unanijua mpaka useme sina?
Na kwann nidanganye?ili iweje?
Si kwamba nna ringa ila nataka kuwaonyesha akina Zero IQ kwamba forex is real ma watu tunasonga mbele kama hatuna akili!!
Haya angalia tena hiyo picha, Is it real?
Yan wewe unashangaa lot ya 4? Duuuh!
Ni vile mda mwingi niko site napambana na mafundi kazi ziende, ila ningekua free ningekua mbali zaidi ya hapo!!
View attachment 1081347
Hatari Sana mkuu ni sawa na kamari usijaribu!
Maneno tu, nataka tangible evidenceKaribuni sana. Forex ni mkombozi wa kweli. Yani mshahara utoke usitoke sina shida, infact sijaenda hata bank kuangalia kama umetoka.
Natumia masaa machache ku trade, nikiset trade zangu naenda site kuangalia mafundi wanafanyaje kazi!!
Yaani raha mustarehe!! View attachment 1081325
Wanaishi kwa matumaini mkuu kuwa kuna siku watavuna mwisho wana jikuta pabaya!vijana mbona wanafanya betting sana sikuiz ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Screen shot wanaokota mtandaoni mkuuManeno tu, nataka tangible evidence
Watu wa humu mmeshindwa kuthibitisha zaidi ya maneno
Nilipopata mtu anayetrade ninayemfahamu nikajua sasa napata ushahidi nae ananipiga maneno tu
Hali yake ngumu bora mimi
Forex ni uhuni
Maneno tu, nataka tangible evidence
Watu wa humu mmeshindwa kuthibitisha zaidi ya maneno
Nilipopata mtu anayetrade ninayemfahamu nikajua sasa napata ushahidi nae ananipiga maneno tu
Hali yake ngumu bora mimi
Forex ni uhuni
Na tusingeweka ungesema wameliwa pesa zao zote!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Screen shot wanaokota mtandaoni mkuu
Classified!Tuambie basi umeweka capital kiasi gani. Ama ni siri????
Classified!
BTW Capital haimati what matters the most is skills!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kuleni pesaa mkuu...!!Na tusingeweka ungesema wameliwa pesa zao zote!!
Watu weusi tuna kazi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Na asilimia kubwa ya Traders wa Tanzania wanashindwa kuelewa hili, haijalishi una capital kubwa ama ndogo but skills zako tu (If you know, you know). Unaweza pewa 600k$ na ukablow within a week pia unaweza anza na 25$ na ikafika hiyo 600k$. Shida kubwa watu wanataka pesa tu ila ku-invest mda wao kwenye knowledge hawataki, Knowledge is Power, Power is knowledge. Alafu wengi wanatapeliwa na hawa so called "MENTORS" kwa kuamini binadamu mwenzao zaidi ya wao wenyewe alafu mwisho wa siku ndo wanaanza kusema Forex ni utapeli🙆(matapeli ni hao mentors na signal providers) ila sio forex wakuu, ingelikuwa hivyo then hakuna kampuni yoyote ambayo ingetaka initial public offering duniani. Invest your time in learning, soma, soma, soma.Classified!
BTW Capital haimati what matters the most is skills!!
Msalimie sana debora.Acha ujinga, capital ina matter sana. Capital ndio inaku-limit uweke lot size gani.
Kijana na tusharubu unaleta mishebeduo dinginya!!
Umeona ukiniambia una capital kiasi gani kwenye hiyo screenshot nitaiba???
Acha ushamba!!
Niko nangoja mlio wa meseji ya simbanking nikajipongeze kidogo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie kuleni pesaa mkuu...!!