Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.


Jiunge kwenye telegram kwa chat na free signals
 
News trade.

@

 
na wewe mkuu sio muwazi mama Debora amekuomba umwambie una kiasi gani kwa lot size kama zile umebaki unaruka ruka kama sungura unaogopa nini hasa
Sasa mkuu wangu nikisema nna kiasi gani itasaidia nini?

Infact hata hizo screen shot nimeweka tu kama njia ya kuonyesha kwa sisi tunao trade forex (ambao hatuchezi forex kama mleta mada alivyosema) we are making money out of forex, otherwise nisingeeka maana ni kinyume na maadali yangu kama binadamu na kama trader!! Sawa?
 
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida
 
Kama ishu ni kujifunza na kuelimika, jamaa yangu mpaka anafungua darasa basi amebobea

Ila hana hela yoyote
 
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida
[emoji23]
 

Telegram free join.
 
mkuu wewe si kuna kipindi uliposti akaunt ina dollar laki mbili. sasa iweje uanze kufukuzia hizo dollar miambili za watanzania wenye mwamko Wa kujua fx. Toa tu hizo hidden free tu utabalikiwa upige pips nyingi kuliko kawaida

Hapa ndiyo nnaposhindwa kuelewa watu wanataka kufundshwa kutengeneza mamilioni for free, haitokaa itokee popote.
Godi mpare kawaonyesha anavyomake pesa watu wanaanza kusema ataunguza hyo account hana risk management aiseeeee kazi ipo sio kidogo.
Hivi nani alicheza na mindset za watu kiasi hiki?
 
Watanzania tuna "Husda" "Viroho"
 
Join free telegram


 
hivi ni nani anaechezesha ile chart ya forex?
Kwa ujumla tu nikujibu kwamba kama vile bidhaa fulani mfano nyanya inavyopanda bei (maana yake nyanya zimekuwa adimu hivyo mahitaji ya nyanya ni makubwa. Hii ndio hupelekea nyanya kupand bei) au nyanya kushuka bei (maana yake nyanya zimekuwa nyingi sokoni kuliko mahitaji ya watumuaji wa nyanya - hivyo hupelekea nyanya kushuka bei sokoni).

Hivyo hivyo kwa upande wa fedha mfano USD inapopanda thamani maana yake ni kwamba kuna upungufu wa hiyo pesa kwenye mzunguko (sokoni) mahitaji ya hiyo fedha ni makubwa hivyo watu wengi wanainunua hiyo fedha. Na kinyume chake pia ni sahihi.

Kwa hiyo chati (graph) ya fedha (currency) inapokuwa inapanda maana yake ni kwamba watu wengi wanainunua hiyo fedha (mahitaji ya hiyo pesa ni makubwa-wanunuzi ni wengi) kuliko wanauza hiyo fedha. Na chati ya hiyo fedha inapokuwa inashuka maanake ni kwamba thamani ya hiyo pesa imeshuka na wanaotaka kuiuza ni wengi kuliko wanataka kuinunua.
 
mkuu tunataka free tukipata ndo tukulipe
 
Kama ni kweli??? Game itakushinda mapema, haiko realistic
 
Kama ni kweli??? Game itakushinda mapema, haiko realistic
Najua hapo utakuwa macho πŸ™„πŸ™„πŸ™„ yote yapo kwa risk mgt! Kuna namna mbali mbali za ku-implement risk mgt. Hvyo usinihukumu sana! Usione kwa kuwa natrade 1 standard lot basi ukajua position zote zilifunguliwa wakati mmoja! Kuna kitu kinaitwa pyramiding of positions na position breakeven trailing. Kwa hiyo ukiapply hzi technique unaweza kufungua hata position 5 za 1 standard lot na bado usiwe na risk kubwa sana! Sometimes trading is like an art!
 
Hahahaha sawa mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…