Mshikaji wangu ameanza kucheza forex, kila siku anauza vitu kidogo kidogo

Status
Not open for further replies.
Kama una muda wa kutosha utafahamu chart ya xm inaweza kutofautiana na ya tickmill n.k., kwa urefu wa candle.
Hii huwa mnaiita stop loss / buy stop hunting kipindi house inamanipulate price kwa faida yake.
Hivyo broker anao uwezo wakuchezesha price na spread kwa manufaa yao ndiomaana brokers wengi wanasajili kampuni zao kwenye nchi zenye sheria rafiki kwao
 
sasa nyie tayar si mnadownload tu haina shida na tuhela tudogo hutu nyie mtapata kwenye forex maaana mnaijua
Shida si hela man when we were started the journey..., kwa upande wangu haikua rahisi hata kidogo hakukua na watu kama hivi mnaopiga nao story, even wano show blue screen hat red tu hakuna zaidi ya wakatisha tamaa(wengineo wamefanikiwa ),loose money,hope,kusemwa,kukesha,kusahau chakula, n.k

so mtu anavyokuambia pay hana maana anashida no either yes, ila kama anajua means ana kupunguzia ile hustler curve na kuepuka hasara sisizo za lazima
 
iko connected na bank zote duniani?
 
tuchukulie mfano wa USD iko nchi zote duniani. ina maana chart ya forex iko connected na financial institution zote dunian kiasi kwamba wanataarifa ya kila dola inayouzwa na kununuliwa kila dakika? inawezekana kweli?
 
Nikueleweshe vyema tu, Sarafu zipo in pair so shughuli zote zinazoendelea ktk izo sarafu mbili ndo zinafanya soko li move any action /reaction inayohusu pesa inakua reflected ktk soko ilo

Ila kama ni action KUBWA mfano inaikumba Usd basi itahadhiri pair zote zenye sarafu ya USD

kuna kitu kinaitwa correlation yani pair flan zina move either same direction or kinyume mfano Gold(XAUSD) ikipanda basi huku USDJPY itashuka

Banaee mengine google
 
tuchukulie mfano wa USD iko nchi zote duniani. ina maana chart ya forex iko connected na financial institution zote dunian kiasi kwamba wanataarifa ya kila dola inayouzwa na kununuliwa kila dakika? inawezekana kweli?
Exchange rate ipo kwa kila pesa iliyopo duniani so ufananishaji wa nguvu ya pesa ni rahisi, but kwenye FOREX kuna baadhi ya pesa hazipo sokoni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…