Mshikamano UDSM kuonekana tena wiki hii

Nguvu Kazi

New Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Hatimaye nguvu, umoja na ushirikiano wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dsm utarudi rasmi baada ya kukumbwa na tatizo moja (common grievances)

Hadi sasa majina ya malipo ya fedha ya kujikimu kwa robo ya nne hayajatoka huku vilio vya NJAA NJAAA NJAA vikitamalaki Mabibo hostel na Main Campus!

Eneo takatifu la REV SQUARE litarudisha hadhi yake kuanzia leo!

SOLIDARITY FOREVER
 
Mmmnmh!!!!! Dhambi ya ubinafsi bado inaitafuna UDSM kwa kile walichokifanya mwka 2011/2012......
 
Ndo tuseme unatuita kwenye mgomo rasmi?
 
Hahahhahahah, udsm imekuwa laini sana kiasi mnashikwa sharubu kila wakati...
 
Nadhani mtakuwa mmesaidia sana na vyuo vingine kwani hari nitete!!
 
kuweni makini matukio kama haya yanaondokaga na baadhi yenu.tumieni diplomacy
 
kuweni makini matukio kama haya yanaondokaga na baadhi yenu.tumieni diplomacy

wewe hufai hata kidogo katika ukombozi kwani sisi ni wajinga mpaka mpaka tutumie nguvu ya maandamano diplomacy imeshashindikana watu mlioshiba mnamatatizo sana
 
Mshikamano hautapatikana maana kuna Mamluki Miongoni mwenu.Hao mwaka wa kwanza wengi wao wametoka JKT hawatakua msaada kwenu kua makini nao.
 
bar (mabibo hostel, na pale ofisi za mawaziri) zilifungwa kutokana na kuwa kijiwe cha kuchajishia/kupandishia mumkari wa KUNJiiiii,
vijana wa leo hawawezi kufikia enzi zileeee...za kina JULIUS MTATIRoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…