........lakini wengi wanapenda mtu aliye na pesa.mmmhhhhh bwana
kila msichana ni tofauti....
Na kila mchichana anajua anataka boyfriend/fiance/husband
awe na nini.....
........lakini wengi wanapenda mtu aliye na pesa.
pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
ninin?katika ndoa?katika uimara wa mapenz?katika mapenz ya kweli?
kwan mtu wakat anatoa maneno mazuri ya kukufanya uwe /ujiskie mwanamke apa dunian ANAITAJI KUWA NA PESA ILI AJUE AONGEE NINI?Rose bibie eti pesa ni nini, shost ki ukweli bila pesa ndoa haipo
Tatizo hela hazina muhuri zimepatikana vipi .......... :smile-big: majambawazi na wezi wa magari hapa mtaani kwangu ndio wanachukua vigori :A S cry:hahhaa kaka we are out of ujambazi wako na shughuli yoyote utakayienda kuifanya the thing is money kwan without m.o.n.e.y maisha yatakwendajeeeee mjomba, saka pesa upate heshima ya kiume sio kungaza sharubu mtaaani mi demu wangu vile hivi. no money no respect no mademu wa ukweli.:yield:
Hela za elimu zinachukua muda kupatiakana ...... sijui ussubirie upande cheo ............ au mpaka hii consultancy firm ichanganyie hapa ........ na nyie hamna subira .......... tufanyaje?:thinking:.....Mie kwangu mshiko na elimu vyote muhimu.
kwan uliwaskia wakiongea mkiwa wap?
isije ikawa ulikuwa upo jollie au kwa kina mwajuma hamis njoo...wao wapo kibiashara zaid...
-mie cha muhimi kwangu ni urithi wa babu+heshima
ela na eli,mu vitatafutwa in case nilimkuta hana
bt kuweka front pesa mmhh au sijui maelimu ahh apana
-nimechek kwa kina maprofesa weeeeeeeeeeeeng hawanaga mahusiano mema na hawajui kitu cha mapenz
-wenye mapesa pia hawana mapenz ya kweli weng wao...(wanadhan ukiwa nao umefata pesa au maisha mema na kuanza kukudharau automatically..)
-MTU KM WEW kwa mwez anapokea laki na 80 ndo wa ukweli mtaenda sawa...akizifuma apo mbele fresh tu akikosa ili mradi wa jan'gombe naupata kwa kina bas si issue ni mahaba mapenz kwa rrrrrrrrrrraha zetu!!!!
Wanaojua wanachokitaka wanahesabika ndugu yangu, wakishaanza mashindano hapo ya sijui mavazi, sijui unaendesha gari gani ......mmmhhhhh bwana
kila msichana ni tofauti....
Na kila mchichana anajua anataka boyfriend/fiance/husband
awe na nini.....
-MTU KM WEW kwa mwez anapokea laki na 80 ndo wa ukweli mtaenda sawa...akizifuma apo mbele fresh tu akikosa ili mradi wa jan'gombe naupata kwa kina bas si issue ni mahaba mapenz kwa rrrrrrrrrrraha zetu!!!!
Hapo sasa ................. unanyanganywa kitu chako hivihivi ............:sad:ROSE 1980
Salaam,,,,,,sidhani kama mabinti hao wapo siku hizi,,,,,,,no mshiko no mapenzi,,,,,,,,kuna jamaa wangu alikuwa graduate alikuwa analipwa laki na 80 mbona binti alimkimbia mchana kweupe????Jamaa ilibidi ahame nchi,,,
kwan mtu wakat anatoa maneno mazuri ya kukufanya uwe /ujiskie mwanamke apa dunian ANAITAJI KUWA NA PESA ILI AJUE AONGEE NINI?
-KWAN PALE KWA KITANDA WAKT MNARUSHANA KICHURA CHURA MTU ANAKUWA KASHIKA BENK STATEMENT MKONON?ASI MNAKUWA WOOOOOTE MPO UCHI....au km hana pesa basi ata muhogo wake pia unakuwapungufu?hakufikish?
LAKIN INATEGEMEA UNATAFUTA NINI kwa ndoa/mwanaume..km unatafuta hifadhi /maisha mazuri poa kigezo cha pesa kinamata..kuna rafikikasema hatakuja kuolewa na mwanaume asiye namastaz/mshahara wa chin ya ml 3 kwenda juu...namuhurumiaga sana
---mimi akismama mlalahoi mwenye utu vs tajiri mwenye dharau ni bora nkampa maskin
-ni bora ulale njaa uku umekumbatiwa kwa bashasha kuuubwa nma maskin mwenzako kuliko KULALA UMESHIBA PIZA,SJUI HAMBAGI SJUI NINI ULIPELEKWA DINA MOVNPK UKU UBAVUNI MWAKO YUPO MWANAUME ANAKUSIMANGA...tena saa ingine ata hayupo usiku kucha yupo ukoooooooooooo na wengne ...wewe asi anajua ulifata maitaji so ashakulisha ashakupa key ya gari basi inatosha.....MMHH:nono::nono::nono::nono::nono:!!!!
---ingawa wanaume wana kasumba moja...ukianza nae akiwa majalala siku akipata tegemea kuzarauliwa na kunyanyaswa as wel si km kutafuta mwanamke mwngne wa kutumbua nae vile mlivyochuma............
Wakuchakachua mi nilidhani mkizisaka kwa pamoja atakuwa na huruma/aibu kukunyanyasahapo red ndo penyewe yani nibora umkute ana pesa akunyanyase wala roho kuuma ni kidogo ila nakushauri rose rose kama unasikio sikia dont ever evrer lasting kumpenda mwanaume fukara they know how to pretend that u have never know in this world yani ni wabaya kupita kiasi ni bor umkute na pesa yake, yani huwa wanabadilika paka weweza kufa kwa presha ndani naongea nikimaanisha siwezi kuwa na mwanamume asiye na pesa mimi nilishaapa go to hell wacha waninyanyase kwani si pesa zao......isitoshe naweza kujilisha bwana, sex machine zipo :yield:
[/COLOR]