Mshiko au elimu kidada nijuzeni

upendo wake, heshima yake kwangu, mie kwisha habari
kama ni pesa na mimi najua kuzitafuta
 
upendo wake, heshima yake kwangu, mie kwisha habari
kama ni pesa na mimi najua kuzitafuta
Kwa hiyo wewe awe nazo asiwe nazo na asiwe na elimu sawa tu ?:lying:
 
usitake kumjua we just make use of it !!!!!!!!!!!!!!!!!!! and be happy that machine is available you can set temperature,voice, style...etc the way u want and even if you have 4 of them no one can dare to ask whyyyyyyy, hahaaaaa:yield::smile-big:
It kind of mess up our significance, inanitishia hapa maana mama Kubwa si unajua haotosheki saa zingine .....:lying:
 
tajiiiiiiiiiriiiiiiiiiiiiiii.............................................? maskiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...............................................?
 
pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaapesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
ninin?katika ndoa?katika uimara wa mapenz?katika mapenz ya kweli?

u've touched my mtima.....mimi naitwa hashycool
 
ndo manake, pesa na elimu vinatafutwa ndugu yangu,
Marhabaa ............ unaish mtaa gani tena vile ............:focus: I wish wote mngekuwa hivyo maana watu wanasumbuka kisa ati kammind dem fulani ......... akatolewa nje kisa hana kisu kikali ......... mtu
anataka kuwa jambawazi,........ mi natafuta aliyetulia najua atapatikana tu.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…