hata mwaka jana walimpa eddy kenzo tukashangaa hivi hivi...
teh.. relaxKumbe Kiba na yeye amewaiga hao, hana promo wala nini, msije kulalamika Kiba anawaangusha
Ah ah ah ah mkuu kiba anaingiaje hapa tena au ndio kutafuta kisingizio,Kumbe Kiba na yeye amewaiga hao, hana promo wala nini, msije kulalamika Kiba anawaangusha
Nilisomaga sehemu watu wanaoitwa Julius ni matata sana, sijui ni kweli?
tozo bado hazijaanza tolewa acheni kupotosha
[emoji23][emoji23][emoji23]naona umekuja kivingine...Nilisomaga sehemu watu wanaoitwa Julius ni matata sana, sijui ni kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeemkuu ishia hapohapo utaonekana mbaya, hakuna kama wiz africa, hashobokeagi tuzo hata iwe na jina vp haombi kura, madili anayopata angekuwa jirani yake davido au kijana wetu mondi hapa tusingekaa
Sijakuelewa?[emoji23][emoji23][emoji23]naona umekuja kivingine...
Sijui hizi avatar unapataga wapi!
huu uzi ungekuwa page ya 200 huko saa hizi.. bora wamelala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
Kuna siku nilisema mimi...
Niliporomoshewa mitusi hatareeee
Simple...hakuna category ya collaboWabongo ktk ubora wetu wa kuponda but bro diamond ur a winner for me, ila najiuliza vigezo gani hata wametumia nahisi sielewi, ila ndio maisha afocus ktk project zake za mbele Kuna siku mungu atamfikiria
VIPI ALIPERFOME STEJINI?