Hivi suala kuweka schedule nalo ni la kuponda?! Watanzania tubadilike na kufahamu mbinu za kibiashara!ila diamond mpaka kwenye program zake aliweka,hahahaha ila Dai nae kwa show off,na angeipata angelambisha watu ndimu,hahahhahaha,tifah minyota leo tungekoma
Na nyie muwe mnajisikia aibu basi. Huyo Ally Kiba hata Bujumbura hajukikani[/QUOTE]Na UOTE="Big Tymers, post: 16643232, member: 372115"]Ali Kiba siku ambayo atakuwa nominated BET lzm achukue tunzo. Diamond mbwembwe tuu hakuna kitu
Wema bana! Ana ugonjwa uitwao diamondmania,mwishowe ni kufa ghaflaDiamond ameikosa tuzo ya Bet ambayo ia imechukuliwa na black coffee, Wema ameshauri Diamond aangalie na soko la dunia kuliko la nyumbani pekee
Hakuna msanii anayechukua tuzo kila mwaka; na kwa BET, vigezo wanavifahamu wenyewe ndo maana 50 Cent aliwatukana! Bado Chibu anashikilia MTV kwahiyo hadi sasa tuzo za kimataifa kwa msimu huu unazo na hizi za BET sie wengine ndo maana tulikuwa wala hatuhangaiki nazo kama ambavyo hivi Sasa Wanaija wasivyohangaika nazo-- in short, Wanaija wamezisusa BET Awards ki utuzima!

Wizkid kimya kimya. Pole diamond next time hope atachukuaMkuu huyu wizkid anaakili sana mkwanja anaopiga angekuwa ndio diamond sijui angejisifia kiasi gan
Nimekosa nini?! Btw; nini nimeongea ambacho si cha kweli? Kwamba hakuna msanii awezae kubeba tuzo kila mwaka ni jambo geni kwako? Kwamba 50 Cent aliwatukana BET mwaka jana ni taarifa unayoisikia kwa mara ya kwanza hivi sasa?! Kwamba Chibu bado anashikilia tuzo za MTV ni taarifa ambayo hujawahi kuisikia? Kwamba hivi sasa Wanaija hawahangaiki na BET ni breaking news kwako?!Maneno ya mkosaji!
Soon tutasikia wanashoot movie hong kong.Mama ubaya anazidi kumpeeb baba ubaya.