Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Asante mdau huyo kavurugwa dah alishatuchomekea kweupee.Mkuu acha kutudanganya.fuatilia vizuri habari yako kabla ya kupost.hajafunga ndoa alikuwa maid kwenye ndoa ya watu wengine kabisa
Mkuu acha kutudanganya.fuatilia vizuri habari yako kabla ya kupost.hajafunga ndoa alikuwa maid kwenye ndoa ya watu wengine kabisa
Alikuwa maid
Nilidhani trend mpya ya magauni ya kuoana!Hata gauni tu linaonyesha sio bibi harusi