Mshindi wa BSS ni yule mdada mwenye asili ya Kinyarwanda na Kiganda, bahati mbaya mtampiga chini maana wabongo mnapenda singeli na kukata viuno

Hiyo ni kwa maoni yako na una uhuru wa kumpigia kura usitulazimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…