Mshindi wa BSS Pascal Cassian AMEFULIA MBAYA

khaaaaaaa ila pesa ambayo hukuitarajia ndo ujinga wake huu
sasa mke alimtelekeza kisa
pumbav sasa atakiona cha mtema kuni
bora angemlea mkewe amfungulie haata kamaradi wangelumbangia hata dagaa na kachumba life lingesonga
sa kamkimbia wacha dunia imcharaze bakora atarudi tu amuulize lucas mkenda ,mbwembwe zilimfanya kiislam mpaka leo anahaha kurudi alipokuwa lakini waaapi imebaki store"
 

kakomea Standad SEVEN
 

Dogo hakuwa na malengo aliweka heshima baa
 
Na mara ya mwisho kutoka hapa MAGU ili aende Mwanza kumtafuta mshind wa bss ili baadae akaiwakilishe mwanza kule Dar, huyu dogo yeye na kaka yake walikuwa wakiuza keki na biskut pale KAMANGA kivukon, cha kushangaza aliporudi kutoka dar (baada ya kushinda), hakumuachia kaka yake hata hela ya mtaji ,
cku moja nimemkuta huyo braza m2 pale kamanga bado anachakalika tu na analaum eti "dogo kaja lkn alicho acha kwangu ni VIATU NA JEANS tu (na hii ni kwa sababu tu nilivijaribishia so akagoma kuvivaa tena kisa eti cwezi kuvaliana na Superstar),
 
Jamani na wale wa Dar mnaomuona mtujuze anafanya shughuli gan? Hapo
 
Yote tisa, lakini la kumtolea nje mama mzazi, hili halina mjadala na lina matokeo mabaya zaidi kuliko yaliyomkuta huyo dogo.
 
Baada ya kutujuza habari ya Paschal na matumizi ya fedha zake, na wewe tuambie fedha zako unavyozitumia ili tujifunze.
 
Lile li-besi lake angelitumia vizuri angefika mbali sana.
Mapromota hawakumuona tu huyu dogo, but wangewekeza kwake wangetoka sana.
Ushauri wangu tu ni kua arudi tena kwenye mziki siriazi atarudi tu kwenye chati.
 
Hivi kumbe alishindaga BSS mwaka 2009?
Dah.
Siku zinakimbia kweli.Mi naona kama ni juzi juzi tu. Kumbe miaka ishasonga.
 
Usifurahi juu yake, Muombee kwa Mungu. Iko siku atasimama tena kwa maombi yenu


Ni kweli kabisa anatakiwa aombewe!!Bible katika Mika 7:8 inasema japokuwa ameanguka,atasimama tena,
 
dogo hana ishu..

Ila ni funzo,kwa wengine waliobaki... Wakizipata wawe watulivu..
 
Amechezea bahati kweli huyu pascal... Halafu washindi wa bss sijui kwanini they never get anywhere...
 
Baada ya kutujuza habari ya Paschal na matumizi ya fedha zake, na wewe tuambie fedha zako unavyozitumia ili tujifunze.

mm kwa cku huwa natumia mpaka Tsh. 6000/=
(chai+lanch+dinner)
wkt mwingine inaweza ikazid mpaka 10000/=
hapo tukiwa mm na dem wangu
 
Amyner!

Hapo ndo najiuliza kweli, inakuwaje washindi wa BSS hawatoki sana kulinganisha na wale walioshindwa mapema...??
 
Hata kwenye American Idol wale wa 10 bora sometimes wanafika mbali kuliko bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…