Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa.
Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na vielelezo ilivyopokea toka takukuru, mtu huyu ana kesi ya kujibu. Kesi itasikilizwa tena tarehe 28.8.2010.
Je huyu anaweza kuondolewa katika kugombea wakati kesi haijahukumiwa?
Je akina Mramba status yao ikoje?