Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,903
- 1,360
Mshindi wa kura za maoni za CCM kugombea ubunge jimbo la Karagwe Nd. Gozibert Begumisa Blandes yuko mahakamani kwa rushwa.
Kesi hii ni ya mwaka 2007, ila jana mahakama imesema kulingana na vielelezo ilivyopokea toka takukuru, mtu huyu ana kesi ya kujibu. Kesi itasikilizwa tena tarehe 28.8.2010.
Je huyu anaweza kuondolewa katika kugombea wakati kesi haijahukumiwa?
Je akina Mramba status yao ikoje?
Rushwa ni sehemu ya mfumo wa CCM. Hivyo huwezi kutenganisha CCM na rushwa.
tutatarajia watuhumiwa wote wa rushwa na ufisadi kupitishwa na CCm kwa maelezo kuwa nin watuhumiwa na hawajapatikana na hatia katika mahakama zetu
Kwa wenzetu kule Rwanda ukituhumiwa tu huna tena sifa ya kufanya kazi katika public office. Tafakari.
Hivyo kama unataka kuondokana na rushwa "VOTE CCM OUT OF OFFICE. NA WAKATI ULIOKUBALIKA NDIO HUU!!"
Dr. Slaa ndiyo suluhisho!