Pre GE2025 Mshindi wa Pilau la 'Mama Samia' Kigamboni apewa zawadi ya Mtungi wa Gesi na Kiwanja

Pre GE2025 Mshindi wa Pilau la 'Mama Samia' Kigamboni apewa zawadi ya Mtungi wa Gesi na Kiwanja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau la Mama Samia Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Kampeni ya Mama Samia ya Kumtua mama mzigo wa kuni kichwani kwa kuhamasisha jamii kutumia Nishati Mbadala ya Gas

Shindano hili limefanyika katika Uwanja wa Machavasi Kigamboni.


Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Hii nchi huku nje tunachekwa hadi Watanzania tunajificha kwa aibu
 
Bando kondom za mama tuu ndio zimebaki!
1000375979.jpg
 
Back
Top Bottom