Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau la Mama Samia Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Kampeni ya Mama Samia ya Kumtua mama mzigo wa kuni kichwani kwa kuhamasisha jamii kutumia Nishati Mbadala ya Gas
Shindano hili limefanyika katika Uwanja wa Machavasi Kigamboni.