Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Mpigania haki za binadamu Ales Bialiatski, muanzilisha wa umoja wa Viasna (Belarus), alipata tuzo hiyo ya heshima mwaka 2020 pale stockholm sweden.
Leo hii mahakama iliyopo belarus imemuhukumu mshindi huyo wa tuzo hiyo ya amani miaka 10 jela, kwa kosa La kushiriki kusaidia maandamano na makosa mengine ya jinai.