Mshindi World Cup 2022

Moha Mfinanga

Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
61
Reaction score
26
Sina mengi karata yanagu natupa
1. Brazil
2. England
3. France

Huu ni mtazamo wangu tusizungume sana tuupe muda wakati wa kuamua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kombe itachukuliwa na nchi moja kutoka bara Ulaya ambayo haijawahi kuchukua hili kombe.
Tutakumbushana.
 
App gani itaniwezesha kustream live michuano ya kombe la Dunia inayoenelea Qatar!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…