mopaozi
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,300
- 523
Jamani hii imenishangaza sana kuona mshiriki wetu Lotus kumpigia kura mshiriki mwenzie frm TZ Bhoke atolewe na kudai kuwa anataka kubaki peke yake ili nchi ibaki na mwakilishi mmoja huu ni ubinafsi ajabu na kukosa uzalendo haikawahi tokea katuwekea historia mbaya kuwa watz hatupendani na wadada wa tz hawapendi!akirudi si tayari bifu hilo na mwenzie sipati picha huko kazini kwao watakavyokuwa wanatimbana!