Mshkaj noma

Joined
Oct 16, 2008
Posts
10
Reaction score
0
[SIZE]Dah! wshkaj hi noma kuna jamaa mmoja alimpa mimba mtoto wa kigogo Basi akafunguliwa kesi wa mshitaki kwa kosa la kumpa mimba. Sasa kumbe yule mshikji ana Bibi yake mtaalaam wa yaleeeeeeee!! mambo yetu ya simba wanga kwahiyo Basi bibi yule aka mgeuza mshkji jinsia ya kiume akamweka jinsia ya kike Basi ilipo fika siku yakwenda mahakaman akapandishwa kizimban kuhojiwa aka sema hivi mimi siyo nilie mpa mimba kwesababu mimwenyewe ni na jinsia ya kike ili kusibitisha akajifunua nguo mahakaman basi aka shinda kesi. Akarudi nyumban wakati anakaribia nyumbani akakuta turubai lime tundikwa na watu wanalia akauliza kunanini apa? Eti BIBI KAFAA!!!!!!!!!!! JAMAA AKANGUA KILIO NANI? NANI ATAMRUDISHIA JINSIA YA KIUME WAKATI BIBI KAFA? JE? INGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?
SWALI KWAKO MDAU?[/SIZE]
 

Teh teh teh,

huyo jamaa itabidi aungane na Lalola (kwa tanzania inaonyeshwa na chanell ya ITV kwa sasa na nchi nyingine tushamaliza kuona) ambaye aligeuzwa kutoka kuwa mwanaume hadi dem, kwa pamoja washirikiane kujirudisha kwenye uanamume


ha hahahaha umenifurahisha sana
 
unabaki nayo kwani ubaya uko wapi .. tena trip ya kwanza tu nawe unapewa mzigo
 
...Kulia si ndio vionjo vya mchezo? Utashangaa rafu kwenye football?? Na yeye asuburi kukobolewa tu!!!

Wallahi mtume..wewe Kipanga ni mhuni tu. Your quote made my day
....LOL
 
Hiyo ni nafasi ya ndugu wa msichana aliepewa ujauzito kulipiza kisasi,bonyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…