Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi
sasa hapa nifanyeje?
nakumbuka kaka yangu aliniambia kuwa nisiwe nasaidia kila mtu
kuanzia leo sitasaidia mtu kitu chochote nadhani hii sio dhambi bora lawama kuliko fedheha, na kama nitakuwa nataka kutoa msaada bora nipeleke kwenye vituo vya kulelea watoto kuliko kumsaidia binadamu.
kimwanamke chenyewe kinajifanya kukataa kimeruka hadi mita mia kukataa
sijui nikiache, kudddkkkki
nawashauri msiwe mnasaidia watu kama sio ndugu yako wa tumbo moja.
na kama huamini ipo siku itakuja kupata yaliyonipata leo