Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Ndo maana mie nikakwambia malizia story yako
jamaa alikuwa anaishi kwangu wakati anatafuta kazi nilimsaidia sana hadi kifedha lakini mwisho wa siku ndio kaja kunifanyia mambo kama haya
 
uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
hope umenipata

...alaa...Ok, mimi nilikusoma msaada wa kifedha na kazi tu.
Pole bana.


wakuu hapa nilipo maleria hadi imepanda kichwani baada ya demu wangu niliyekuwa namwamini kumegwa na mshkaji wangu wa karibu sana ambaye nilishamsaidia sana (kifedha) na hadi kupata kazi ...

...sasa vipi demu wako, bado unaye? ushamsamehe?


...contradictory statements hizo Easymutant!
Mimi ningemshauri aendelee kuamini, ila awe mwangalifu.
 

Kuna watu wamemegewa wake zao na ndugu yake wa tumbo moja,yaani amemtoa kijijini,amemsomesha,amemlisha,kamvika na kamtafutia kazi na bado anatembea na mke wake(shemeji yake)!!!Bora wewe amemega mshikaji wako.Anyway hujasema umejeuaje au kuhakikisha kama ni kweli,kama ni kweli basi achana nae ila usiache kusaidia watu ila usiwaamini watu.Binadamu hawafanani tabia.
 
PJ sio kweli kabisa huyu mtoto anapata kila kittu na ninavyoona jamaa alianza kumfuatilia mda sana ...na walitumia huu mwanya niliposafiri kwenda nje ya nchi .. dah!! but sema bado sijafunga bdoa ningeua jamaa yule

...delusions!, ...nikikwambia u list kila kitu anachokipata utaweza?
Kuna kitu kimekosekana mzee, rudia kwenye drawing board.
 
Pole sana kwa maumivu. Unaonekana umepatwa na hasira sana hata hujui unachokisema. Mara Maleria imepanda na kwamba huoni sababu ya kumsaidi mtu mwingine labda ndugu yako wa damu na watoto katika vituo vya kulelea watoto...

Ushauri:
Tuliza akili na mawazo yako taratibu. Tulia na usichukue hatua ya kukurupuka tu. Chunguza na kupata ukweli. Tafakari na kufanya uamuzi wa busara.
Kila la kheri...
 

..mnh, kwenye mambo haya hakuna bora fulani bana,...LOL!
 

Mwanamke kama hajaolewa yupo huru kumegwa na mtu yeyote. Hakuna Sheria inayokulinda kama hujafunga Ndoa. Kwa maana hiyo hakuna kitu kinachoitwa DEmu Wako, kisheria kinachoelewekani MKE WAKO. Halalisha kabla hatuja kumegea na wewe.
 
nilikamata meseji kwenye simu yake ,mimi huwa sina tabiuia ya kuangalia au kushika simu ya sichana wangu huwa nampa uhuru sana na simu yake so niliporudi , akaja kwangu alipoenda kuoga mesji ikaingia nilipoisoma jamaa(mshkaji wangua) akawa amemuandikia kumuuliza kama nimerudi k(kumbuka nilikuwa safarini) ila mda mwingi sana naspent na huyu mwanamke na nilipoendelea kusoma meseji nikakuta meseji kibao na wote nikiwauliza mwanamke anaruka hana cha kujitetea lakini na jamaa katoka nduki na line kabadilisha
 
...delusions!, ...nikikwambia u list kila kitu anachokipata utaweza?
Kuna kitu kimekosekana mzee, rudia kwenye drawing board.

hapa namaanisha hadi unyumba na mimi nipo strong ndugu yangu ,msichana wangu wa kwanza niliishi naye kwa miaka mitano kabla sijaenda masomoni kwa mda mrefu ndio akaolewa na yeye hakuwahi kunifanyia huu upuuzi ndio maan hata na huyu nikawa namwamini sana
 
samahan
kama ni kweli shukuru mungu umemshtukia mapema.
ila na wewe ulitoka wapi na hicho kicheche, inaelekea mungu amekupa copy yako hivi au ........
 

hapo sasa nimekupata mkuu...sasa fanya hivi...kwa hekima kabisa achana na huyo dada tena bila kufanya chochote...Ignore mkuu wangu....na piga moyo konde.....hiki kisa chako kinafanana kabisan na cha ndugu yangu mmoja....yeye alipinduka na gari na kulazwa kcmc....rafiki wa karibu wa yule ndugu yangu akawa anamega mke wa ndugu yangu....ndugu yangu aliporudi akayapata maneno na na gest waliyokuwa wanaenda.....siku moja mtego ukawekwa kati ya ndugu yangu na mhudumu wa gesti...wale walipokuja basi ndugu yangu akastuliwa akaenda pale pamoja na watu wengine kama 5 hivi .....akappewa fungu ya ziada ya kile chumba...akafungua na kuwakuta wanafanya mambo....(wacha nikuchekeshe kitu yule jamaa hakushuka pale mpaka alipomaliza) huku rafiki (ndugu yangu) yupo pembeni anawaangalia.....walipomaliza akamuuliza yule jamaa..''kwa nini unanifanyia hivi?''yule jamaa akamjibu ndugu yangu kwamba...''chanzo ni mke wako''....baada ya jibu hilo ndugu yangu aliridi home + wale watu wengine( mashuhuda) na kukaa kimya..yule mama aliporudi alitamani kupigwa lakini ndugu yangu alikaa kimya hadi mwanamke alitoroak na kwenda kwako ambako aliishia kujiua.......ndugu yangu yupo anaendelea na maisha kama kawa na alipata mwanamke mwingine akaoa na maisha yanaendelea......Malaria haina haja ya kukupanda kichwani kaka.....tulia na fanya shughuli zako...tumeumbwa kusahau kaka nawe hili litapita wala usijali

 
kamwe usimwamini binadamu yoyote katka mapenzi, pili acha kuishi na binti kwa miaka mingi kama unampenda halalisha muishi kwa uhuru zaidi

achana na huyo binti kwani Mungu amekuonyesha tabia yake mapema, piga goti utapata mke mwema.
 
ohh kumbe ndio urithi pekee tulioachiwa nimefunguka macho :lol:
 
jamaa alikuwa anaishi kwangu wakati anatafuta kazi nilimsaidia sana hadi kifedha lakini mwisho wa siku ndio kaja kunifanyia mambo kama haya

Ha ha ha ha wewe ulitakaje sasa unakwenda kazini unachelewa kurudi jamaa akawa anajisevia pole mwaya ndo ukubwa huo
 
uliza kwanza msaada gani nilimsaidia/?
jamaa alikuja akawa anaishi kwanggu kwa mda so hapo ndio alivyojuana na demu wangu
hope umenipata


Sasa unatulalamikia nini; huoni kuwa hata huko kumegewa , demu wako alikuwa anaendeleza tabia yako njema ya kutoa msaada panapohusika?

We enedelea kusaidia tu na demu wako usimwache kwa kijimambo kama hiki bana! Isitoshe utampata wapi mwingine mtakayerandana namna hiyo kitabia?
 
I'm not getting this!! Ni kwamba mwanamke alimegwa bila ridhaa yake. Kwamba alikuwa kajikalia tu na jamaa akawa na hamu ya kufanya kwa hiyo akamgeuza huyo mwanamke na yeye bila pingamizi akageuka tu.

Kwa maneno mengine mwanamke alikuwa hataki kufanya. Kila kitu kilifanywa na mwanamme. Huyo mwanamke hakuwa na usemi wowote juu ya mwili wake na jinsi ulivyotumiwa na huyo mshikaji..

Daaah nachoka kabisa. Mwanamme habithi kabisa huyo kwa kummega demu wa mshikaji wake....
 
...alaa...Ok, mimi nilikusoma msaada wa kifedha na kazi tu.
Pole bana.




...sasa vipi demu wako, bado unaye? ushamsamehe?



...contradictory statements hizo Easymutant!
Mimi ningemshauri aendelee kuamini, ila awe mwangalifu.

hakuna contradictori yoyote hapo .. nimesema jamaa aliishi kwangu na nilikuwa namsaidia hadi fehdha i mean malazi na pesa
 
sio lazima kucomment kila thread inayowekwa hapa zikine piga kimya kula lapa ok? wewe hujui nipo kwenye hali gani ..wewe na wewe si utaoa mwanamke? au unadhani mke wako atakuwa sio binadamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…