Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

Mmmmh pole Ivuga.
Usikute ni lile Jini Mahaba linakuharibia mambo aisee.
LD we acha tu ...majini hayaonekani bana ni mindoto tu ile achana nayo .... huyu binti namwangalia hadi sim-malizi ......
 
pole kaka, cha umuhimu sahau yaliyopita ganga yajayo. Hiyo ni mitihani tu ya mungu, usijali labda mungu anakuonesha kuwa huyo ulie nae sio mzuri kwako. Kama una malengo nae huyo mwanamke, nakushauri tafuta ushahidi kamili, kuwa na maamuzi ya kiume, wanawake wapo wengi ila wanaofaa kuoa ni wachache mno!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
<br />
mkuu PJ kuna mademu wengine ni madege yasiyoliwa kaka haijalishi anaridhika au la, nadhani wana pepo wa ngono

ndugu yangu bora umenena , kwa sababu huyu mwanamke mara nyingine anaombaga break kwa sababu ya mwendo mrefu sasa sijui hawa jamaa wanaoniambia niende loliondo sijui wanamaanisha kuwa mwanamke anataka penzi la aina gani tena..kwanza mimi huyu mwanamke nikimuacha atakuja kujuta mambo ninayo mpa lakini bado tu hatosheki? kha jamani sasa hivi naanza kuelewa kwa nini mama yangu alikuwa anapinga sana mimi kuoa au kuwa na msichana wa hili kabila but bado siamini kuwa sababu ni kabila lake hii itakuwa ni tabia yake tu huyu mtoto:
mtoto nampiga hadi haya mambo lakini bado katoak nje tu dah!!
 
LD we acha tu ...majini hayaonekani bana ni mindoto tu ile achana nayo .... huyu binti namwangalia hadi sim-malizi ......

Ndio limeona Demu wako anampa kauzibe, likaona bora amsukumie kwa jamaa yako huyo.
Huyu hawa wana nguvu aisee.........

Dah, na ulivyo lisifia lilikuwa linakuona na kusikia lol.
 
Ndio limeona Demu wako anampa kauzibe, likaona bora amsukumie kwa jamaa yako huyo.
Huyu hawa wana nguvu aisee.........

Dah, na ulivyo lisifia lilikuwa linakuona na kusikia lol.

duh!! unamaanisha niunganishe dots nini?
 
Pole sana mkuu, rafiki mkia wa fisi.........., rafiki mkia wa komba ukiuchezea uta...........................We endelea kusaidia watu bana kila mtu na tabia yake.

nitasaidia lakini sio direct kama hivi
 
mkuu hivi kweli mtu kakumegea demu wako uliyekuwa unamuaminithen unahata nguvu za kukaa naye chini ati kuongelea kwa nini alimmega msichana wako?? mimi sina hii pumzi but nashukuru kwa ushauri rafiki
 


wanawake walio wengi mwalimu wao kipofu..
Ilo tu lakupandisha malaria!!? Mi hata sioni cha ajabu hapo maana ni mambo yanayokuepo sana katika uhusiano.
 
huyu na yeye anatuyeyusha sana bana! mara kamegewa , mara jini mahaba, mara waifu kenda msalani mimba imetoka! hizi skript zake zinafanana na za king majuto.
Ujue IVUGA namuheshimu sana kwa michango yake hapa jukwaani ndio maana niliamua kukaa kimya bila kuchangia nione je wanaJF tunakumbuka thread za nyuma au kila siku ikiletwa thread mpya tunaanza kuchangia? Jamaa mara kaoa, mara amekumbwa na jini mahaba na sasa kamegewa demu story za jama hata za alfu lela ulela hazioni ndani
 


Msaada na mapenzi vitu wviwili tofauti braza. We ulihonga na sio kuwa ulisaidia.
Sasa labda ungesema hutakiwi kumhonga mtu ambae sio ndugu yako?? I think ingesaund vyema Unaposaidia hutegemei reward kutoka kwa mtu unaemsaidia ni swala la wewe kutenda mema bila kutegemea malipo. Kama ulikuwa unategemea fadhila huo sio msaada ni KUHONGA.

My Take: Nitaendelea kusaidia binadam yeyote ambae naona anahitaji msaada wangu na si ndugu pekee maana hata ndugu wanaweza kukudispoint vilevile!!!!
 

wewe naona hutaki kuelewa mimi sitaki fadhila kwake kama ningekuwa nataka fadhila basi hata nisingeseoma kwa bidii na kufika hapa nilipo ningemngojea atoke ili anisaidie
shirikisha ubongo na mikono wakati wa kuchangia
 
mkuu hii kitu imetokea kiukweli na sio kamba
 
mkuu hii kitu imetokea kiukweli na sio kamba

Kaka na Yule Jini mshapigana chini??au ndo atakuwa kamshawishi mshikaji akumegee??Maana yale madude hayatabiriki!!
Usiache kusaidia mtu kwa sababu mtu mmoja kakufanyia ubaya,huu sio mtamazo unaojenga!Dem na mshikaji wako woote kimeo so kula kona songa mbele
 

point taken!thanks
 
Pole mkuu najuwa inauma kweli.

Kuna rafiki yangu kama kachanganyikiwa kwa sababu ya haya mapenzi. Kaka na binti kwenye urafiki kama miaka 4 akikwa katika process za kuowa mtalajiwa akaanza kutowa nje, inauma najuwa. Zaidi tu nakwambia ndo uanaume siyo kuvaa suluari tu ni pamoja na kuvumilia, kutuliza akili na kufanya maamzi ya busara. Bora ni bado mapema je angekuwa ni mkeo tayari uzikute hizo message ingekuwaje mkuu?

Watu wengine humu watakwambia hutakiwi kuangalia cim ya mtu wako hata kama mko kwenye ndoa kitu ambacho huwa nakipinga siku zote. Mkiwa kwenye hiyo stage chako ni chake na chake ni chako kwa nini mke wangu asiangalie simu yangu? Hizo ni moja waop ya Internal Controls katika mahusiano siyo kujiachia free kisa unamwamini. Utakuja fumbua macho meli imegonga mwamba alafu uanze kujiraumu.

Any way ndo ukubwa kaka polepole utapata aliyetulia. Kama walivyosema wachangiaji wengine huko juu si wanawake wote ni wa kuolewa na sii wanaume wote pia ni waowaji.
 


hahaha mzee hapo kwenye red tupo pamoja


 
du........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…