mshkaki ulionikumbusha mbaali:kisa cha kweli

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
hii picha imenikumbusha mbali sana,zamani nilipokuwa mdogo sana mitaa ya mbeya,kuna jamaa alikuwa kampakia demu wake kwenye pikipiki aisee nakubali alikua mzuri hasa shepu ya kibantu,sasa jamaa alikuwa anateremka mteremko mkali na kulikua na kona kali sana na jamaa alikua spidi kali pia,sijui ikawaje yule mdada akatereza kutoka kwenye pikipiki na kudondoka,bahati mbaya gauni alilovaa likanasa kwenye taa ya indiketa ya pikipiki aisee,jamaa hana habari.alimburuza yule dada umbali mrefu kweli kwenye lami,mpaka anasimama loh yule dada kichwa kilikuwa hakitamaniki,ubongo wote nje,yaani sikulala siku hiyo kwa kuota.sijui kama yule dada alipona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…