Mshkakiiiii..........

Dereva wa aina hii anahitajika apigwe viboko hadharani huku akiwa hana hata nguo moja. anataka aangamize taifa lijalo.
 
A hazard is anything that pauses a risk of causing an accident!
This here is a hazard!
 
Kwa mafoleni na jinsi watoto wanavyo nyanyaswa hapa bongo, usafiri huo unafaa.
 
That is madness

On the contrary it is poverty, ndio maana bajaji ni chache oysterbay ,upanga, sea view na masaki na pia kule hakuna mishikaki. Jiulize wangepanda daladala ingekuwa shs ngapi kwa wote, wangechukua teksi ingekuwa kiasi giani. It all goes down to umaskini ,kwisha
 
A hazard is anything that pauses a risk of causing ana accident!
This here is a hazard!

Paka Jimmy maskini kila dakika kwake ni hazard, mtu anayeishi kwa shs 300 kwa siku that in itself is a hazard.
 
Dereva wa aina hii anahitajika apigwe viboko hadharani huku akiwa hana hata nguo moja. anataka aangamize taifa lijalo.

Apigwe viboko ambaye ni chanzo cha umaskini, sio huyu amabaye ni matokeo ya maskini atafutiwe dawa ya kuwa na kauwezo ka kupandisha watoto wote hao daladala, afundishwe nyota ya kijani etc ili awe na watoto wachahche ambao hawatamgharimu ktumia hela nyingi kwenye matunzo na hata usafiri.
 
Angekua na Hummer unafikiri angebebesha kiivyo? sio yeye ni ukwasi jameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…