Mshtuko kabla ya kulala

Pole sana.
Kama ni Mkiristo, nenda Kanisani utubu dhambi zako na Kuanza maisha mapya.
Hii hali ilinitesa kwa Muda, nilitibiwa bila mafanikio hadi nilipopeleka tatizo langu kwa Kristo.

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa chako kilishazoea kubembea(kilevi) Siku ukilala mapema half upo soba unakiwaza hasa hicho kilevi na unalala kwa masikitiko mnooo!!najua humu kwa wana jukwaa hutokubaliana na Mimi lkn ndani ya nafsi yako lipo wazi

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Tatizo hilo wanalo watu wengi...!!

Unaweza kulala na ukaota ama kuhisi unadondoka katika Kishimo (sio Shimo kubwa)..

Naomba ni-PM nikushauri cha kufanya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi sio mtabiri wa ndoto na hakuna watabiri wa ndoto saana utadanganywa tu.
Kifupi hilo swala MTU kuota kudondoka ktk shimo au kuanguka ktk gorofa kisha unashtuka ghafla huku hasho likikutoka,,linamkuta MTU mwenye dhambi nyingi.
Nikimaanisha KUA KUNA KALE KAUSEMI"USINGIZI NUSU YA KIFO"
kwa sisi binaadam tunapolala ROHO ZINATOKA NA KWENDA KUTEMBEA SASA PALE ROHO INAPOTAKIWA IRUDI KWAKO HALI YAKWAMBA SIO SIKU YA MAUTI YAKO ULIOPANGIWA.
ILE ROHO INAKATAA KURUDI KUTOKANA NA MADHAMBI YAKO. BASI INALAZIMISHWA IRUDI...INAKUJA KWA HASIRA ZOOTE NDIO MAANA UNAJIKUTA UNAOTA NDOTO ZA AJABU

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Pepo ndio nini
Hawa ndio wanaimani za kikhanithi kabisa kama lile tukio la majuzi kati MOMBASA ATI WAMEIBA GARI WAKAKAMATWA WANAIGA UCHI NA LI NYOKA KUBWA WANALO[emoji1]
MGANGA TOKA UGANDA AKAWATIBU WALIJISAHAU KUA CCTV CAMERA HAIMWACHI MTU SALAMA..
HUYU NAE ANASENA "PEPO"
yaani Hawa hawajui THAMANI YA MWANA ADAM
SISI TULIUMBWA NA TUKAPEWA CHEO KIKUBWA KULIKO KIUMBE YOYOTE DUNIANI..
KAMA UTABISHA BASI WEWE HUNA DINI NI MPAGANI.
ATI MTU ANAKWAMBIA PEPO AKIMAANISHA UNA JINI AU SHETANI[emoji1] ,,
ANAKUTISHA KISAIKOLOJIA


Sent from Calculator Phone vesion007
 
Kuhusu unywaji, sinywi kabisaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…