Mshtuko kwenye Pumbu

hapo mtafte jamaa humu jf anaitwa 'kamandakazi' atakusaidia ushauri wa kitaalam kama daktari.
 
Jamani acheni masihara natafuta ushauri
Kaka hilo tatizo liliwahi kunipata lilianza hivyo baadae maumivu yakahamia hadi upande wote wa kulia kuanzia tumboni hadi kifuani..yaani unasikia kama shoti inapiga kuanzia kwenye pumbu hadi mbavuni..nitafute faragha nikuelekeze nilikopata dawa mwaka wa tano huu halijarudi..Dokta Kaushak Patel pale Hindu Mandal alishindwa kunipa tiba ila huko maeneo walinipa tiba siku mbili tu..Hako kadawa kamenisaidia hadi nguvu za ugani!!!
 
Only when a mosquito land on your testicle u can know why it is important to solve problems without violance
 

Kwanini iwe faragha mkuu? Sema hapa hapa usaidie na wengine alafu mimi inaniuma wakati namwaga mbegu kwa. mwanamke tu
 
Abstain completely from eating chicken chips. Follow the proper routine of balanced diet and you'll be ok. Plenty of fruits will see you bouncing again.
 
mkuu kula tigo wenzako sio dili... mishipa ya kupitisha mbegu imeziba..... mcheki huyu jamaa anaweza kukusaidia MziziMkavu

Mkuu tatizo halipo kwenye dushelele bali ni kwenye mshipa wa chini wa pumbu ndio napata maumivu ya mbali mda wa mbegu kutoka ninapofanya mapenzi
 
Last edited by a moderator:

Pole sana kk....mm pia niliwah patwa na hilo tatzo...lilianza sehem 1 then pumbu likavimba balaa ila nilitibiwa bugando kwa kupewa maelekezo ya kwenda kununua dawa za chupa dukan...hzo dawa nilichomwa kama mwez hv kila cku chupa 1....kwa ss muda umepita sana maana ilikua tangu 2005...niko poa nahakuna tatzo tena baada ya kupewa ushaur na kuufata vizur
 

Huwenda umepata tatizo la ORCHITIS . Nenda hospitali kafanye vipimo.
Kama unatoa huduma hiyo kwa mkeo its ok kama ni kwa mchepuko ACHA ZINAA, UKIMWI upo!
 
Mkuu Mavipunda mbona hata mimi nahitaji msaada wako, ni pm basi.
 
Last edited by a moderator:
Wahi fasta hospital mkuu kabla hujapararaiz pumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…