Mshumaa kama timer kwenye madanguro hapo kale

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over.

1674038731224.png

Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa, ukisha uwasha ndiyo dakika ya kwanza.
 
Mimi sikusoma nitafsilie

Unaenda kununua malaya, kipimo ni dakika saba, yaani unalipia huo mshumaa unawashwa kwahiyo ukizima ndio muda wako umeisha hata kama haujafika mshindo unashuka kutoka kwenye kiuno cha mwanamke, au uongeze pesa uwashwe mwingine na ulipie pesa upya, hivo kama ni dakika 21 inabidi ulipie mishumaa mitatu na malipo ya anayekupa starehe yawepo
 
Duh sasa mbona kama ni mateso fulani hivi yasio na huruma sasa umelipia ile unaingiza upepo umepita aya mshumaa umezima kwahio utaitajika kulipia tena?
 
Brothel candles were candles which burned precisely for 7 minutes and were heavily used during Victorian times. The customer paid the fee, lit the candle, and when the candle burned out, his session was over.

View attachment 2486078
Huu mshumaa uliwaka kwa dakika saba. Mteja ndiye aliyekipia gharama za mshumaa, ukisha uwasha ndiyo dakika ya kwanza.
Asee hii nzur mshumaa naupaka maji kidog kwa mbaali ili uchelewe kuisha
 
Back
Top Bottom