Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Unamkenulia nani mimeno yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalale na umasikini wako wa kufikiriWote Hao ni mapopoma . Dogo Mbosso anasauti bwana . Nyimbo zake kali sana hasa Yale mahadhi ya afroeast
Mimi na wewe nani msukuleMisukule wa WCB mnashida sana
Kalale kenge mkubwa wewe diamond baba lao
Baba lao 1.4 M views in 19hrs
Uno 1.6 M in ....days
Mshumaa 246 k views in 13hrs
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi na wewe nani msukule
Mpaka usiku babalao inakuwa ishapiga mtu za chembeBaba lao 1.4 M views in 19hrs
Uno 1.6 M in ....days
Mshumaa 246 k views in 13hrs
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
Mr atakusikia...Ila Ally kiba hapo tumboni kushuka mpk kiunoni kajengeka vzr sana lol
Hana jipya huyo Ndo Manyimbo yake siku izi, Ya ovyo ovyo tu.Mondi huo sio wimbo katoa kusafisha kwanza khali ya hewa...Songz la kuwapumbaza
Mkuu nadhani hauko peke ako, me nimeweka replay kabisa. Ngoma inajirudia tuNa niseme ukweli tu, toka asubuhi nimeamkaa nasikiliza tu mshumaaa tu, hii ni mara ya 100 nadhani
Mondi huo sio wimbo katoa kusafisha kwanza khali ya hewa...Songz la kuwapumbaza
Diamond ananunua views.Baba lao 1.4 M views in 19hrs
Uno 1.6 M in ....days
Mshumaa 246 k views in 13hrs
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa shogaWasiokiwa na kazi za kufanya, jobles ,marioo,ving'asti na mashoga ndio hulala na kufikiria upuuzi kama huu wa kufananisha watu kila siku,
Kwanini usijilinganishe wewe na diamond kimafanikio ili upate hasira ya kutoboa....
Huu ni ushoga kama ushoga mwingine shubamitt
Toeni Credit kwa Naira Marley nyinyi wapuuzi.Kati ya uno na baba lao upi umepigiwa promo,acha bangi sema baba lao imewaingia