Mshume Kiyate katika Kurasa Darasa cha TBC 1

Mshume Kiyate katika Kurasa Darasa cha TBC 1

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
MSHUME KIYATE KATIKA KURASA DARASA TBC1

Katika mahojiano yangu na mtangazaji Maureen Minanago wa TBC1 mtayarishaji wa kipindi Kurasa Darasa tukizungumza kuhusu utunzaji wa kumbukumbu nilimwonyesha picha ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere iliyopigwa mwaka wa 1964 baada ya maasi ya Tanganyika Rifles (TR).

Picha hii amenipa Mzee Kissinger.

Katika kipande hiki cha video namweleza Maureen Minanago udugu uliokuwapo kati ya Mshume Kiyate na Nyerere katika miaka ile ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

 
Back
Top Bottom