suleym
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,961
- 1,209
habari za kusikitisha zimetokea leo asubuhi mjini mtwara ambapo mwanafunzi wa kike amefariki dunia, mauti yamemkuta gesti akiwa na mwanaume. Mwanaume huyo alikuwa amemchukua mwanafunzi huyo na kwenda nae gest moja iliyoko mjini mtwara haijulikani kitu gani hasa kimesababisa kifo cha mwanafunzi, tetec zilizozagaa mjini mtwara ni kuwa mwanafunzi huyo alikuwa alikuwa na matatizo ya kifafa. na mwanaume amjisalimisha polisi.