Habari zenu wana janvi,kuna taarifa za kuhuzunisha kutoka Chuo cha Sayansi ya Tiba UDOM! Mwanafunzi wa kike aliyejulikana kwa jina la Sylvia aliyekuwa mwaka wa pili akisomea shahada ya Udaktari wa binadamu amefariki jana usiku katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.Chanzo cha kifo chake ni Operesheni ya kujifungua aliyofanyiwa wiki mbili zilizopita katika hospitali hiyo iliyosababisha kidonda kupata uambukizo na kusambaa kwenye damu.(Sepsis)
Marehemu ameacha mtoto mchanga.
Rip sylvia tulikupenda lakini Mungu kakupenda Zaidi!
Marehemu ameacha mtoto mchanga.
Rip sylvia tulikupenda lakini Mungu kakupenda Zaidi!

