si mbaya na nidhani kila kitu ni rukhsa ndo maana kuna majukwaa yanayocover mambo karibia yote ya ki"jamii", na pia kwenye matukio kama haya ni njia mojawapo ya kupeana habar.Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
kuna ubaya mkubwa wangu!!!Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Angalieni jinsi 'nincompoop' huyu alichoandika hapa chini, halafu analaumu kuwekwa kwa tangazo la kifo humu jamvini!Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Habari zenu wana janvi,kuna taarifa za kuhuzunisha kutoka Chuo cha Sayansi ya Tiba UDOM! Mwanafunzi wa kike aliyejulikana kwa jina la Sylvia aliyekuwa mwaka wa pili akisomea shahada ya Udaktari wa binadamu amefariki jana usiku katika hospitali ya mkoa wa Dodoma.Chanzo cha kifo chake ni Operesheni ya kujifungua aliyofanyiwa wiki mbili zilizopita katika hospitali hiyo iliyosababisha kidonda kupata uambukizo na kusambaa kwenye damu.(Sepsis)
Marehemu ameacha mtoto mchanga.
Rip sylvia tulikupenda lakini Mungu kakupenda Zaidi!
Duh!kila ki2 lazma mlete humu jf jaman?
Classmate wangu A-Level Meta Sec, Mbeya. Anazikwa wapi..!?