Msiba: Pearl amefiwa na Baba yake leo Asubuhi

Pole kwa kufiwa pearl, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Pearl, Mwenyezi Mungu akupeni subira katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana Pearl na wote walioguswa na msiba huu. Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, akupeni uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
RIP Baba Pearl.
Asante sana Kyabushaija kwa taarifa. Sharing is caring!
 
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...

Pole sana Pearl tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.
 
Pearl.....Pole sana my dia.....Raha ya milele umpe baba yetu ee bwana na Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani.......Amina.



Bala.
 
Pole sana my dear....Mungu akutangulie katika yote....RIP Mzee wetu
 
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.

Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.

R.I.P Baba Pearl...
pole sana rafiki
 
Ohoo pole sana my dia kwa msiba mzito, Mungu amlaze mahali pema peponi baba
 
Pole mamii, Mwenyezi Mungu awatie nguvu. May His Soul Rest in Peace. Amen.
 
Pole sana Pearl, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana Pearl. Hiki ni kipindi kigumu sana kwako lakini yote weka mikononi mwa Muumba atakupa nguvu na atakusaidia utavuka tu. Mungu amweke Mzee mahali pema peponi. Amen.
 
Pole sana Pearl na kufiwa baba,Mungu awatie nguvu.
 
Pole sana Pearl na wote wanaohusika na msiba...RIP mzazi
 
Pole sana Pearl na wote waliohusika na msiba....RIP mzazi
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina. Wafiwa poleni sana na muwe na moyo wa uvumilivu, ninyi mlimpenda lakini Mungu amempenda zaidi. Tupo pamoja katika maombolezo.
 
Pole sana Pearl , nishafiwa na baba najua inavyouma .
Mungu akufariji na kukupa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…