Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Pole sana Pearl.Mungu akupe nguvu katika majonzi haya!Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.
Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P Baba Pearl...
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi.
Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu.
R.I.P Baba Pearl...