Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
masikini,ushauri nasaha haukufanyika?mbona watu wengi tu wanaenjoy maisha na virusi mpaka miaka hata 20.taarifa za kwanza zinadai kuwa mwanafunzi huyo amefkia hatua ya kujiua baada ya kupima na kukutwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi.
my take:elimu zaidi kuhusu maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi haina budi kuzidishwa.
amesema ni (ke)R.i.p broda
wajingawatu ni dada yetu mpendwa au dada yetu mpenzi!RIP dada yetu mpendwa.
kwa mara ya kwanza ya kwanza leo nasikia kuwa sua kafa wa kike even though kajinyonga, huwa hapo sua walikuwa wanakufa wanaume tuuuu!!
Inawezekana zile slides za akina prof kasuku na mwenzake prof silayo zimemuuumiza huyu mdada kisha kaona haina maaana yeye kuendelea kuishi huku physiology na anatomy zikiwa zinamsubiri kwa hamu saaana.
But mdada alikuwa jasiri sana kwani kafa kifo cha kijasiri hivyo anastahili kupongezwa sana. Poleni sana wanasua.
main campus,
Kwa mara ya kwanza ya kwanza leo nasikia kuwa SUA kafa wa kike even though kajinyonga, huwa hapo SUA walikuwa wanakufa wanaume tuuuu!!
Inawezekana zile slides za akina Prof Kasuku na mwenzake Prof Silayo zimemuuumiza huyu mdada kisha kaona haina maaana yeye kuendelea kuishi huku Physiology na Anatomy zikiwa zinamsubiri kwa hamu saaana.
But mdada alikuwa jasiri sana kwani kafa kifo cha kijasiri hivyo anastahili kupongezwa sana. POLENI SANA WANASUA.