Msiba SUA

Kerpp

Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
58
Reaction score
10
Mwanafunz (ke) wa mwaka wa kwanza koz ya (B.V.M) ajinyonga, japo kisa hakijajulikana hivyo tutazid kujuzana wanajamiif, Duh R.I.P dada yetu,
 
anaishi hosteli gani? na pengine ni sababu gani iliyomfanya ajinyonge? au ndiyo ugumu wa shule? maana nasikia Dr.Mushi anawakimbiza vijana kweli kweli na BIOCHEMISTRY.
 
Mwanafunzi (me)????? mbona umeniacha hapo sasa au unamaanisha mwanaume? embu nijuze. RIP
 
Taarifa za kwanza zinadai kuwa Mwanafunzi huyo amefkia hatua ya kujiua baada ya kupima na kukutwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi.
My Take:Elimu zaidi kuhusu Maambukizi ya Virusi vya ukimwi na Ukimwi haina budi kuzidishwa.
 
poleni! sijui nisemeje? mpango wa Mungu? au tulimpenda lakini...... au shetani?.lakini inauma sana! vijana tutulie basi!
 
taarifa za kwanza zinadai kuwa mwanafunzi huyo amefkia hatua ya kujiua baada ya kupima na kukutwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi.
my take:elimu zaidi kuhusu maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi haina budi kuzidishwa.
masikini,ushauri nasaha haukufanyika?mbona watu wengi tu wanaenjoy maisha na virusi mpaka miaka hata 20.
 
anaishi hosteli gani? na pengine ni sababu gani iliyomfanya ajinyonge? au ndiyo ugumu wa shule? maana nasikia Dr.Mushi anawakimbiza vijana kweli kweli na BIOCHEMISTRY.

main campus,
 
RIP dada yetu mpendwa.Na pole nyingi kwa familia yake.
 
Kwa mara ya kwanza ya kwanza leo nasikia kuwa SUA kafa wa kike even though kajinyonga, huwa hapo SUA walikuwa wanakufa wanaume tuuuu!!
Inawezekana zile slides za akina Prof Kasuku na mwenzake Prof Silayo zimemuuumiza huyu mdada kisha kaona haina maaana yeye kuendelea kuishi huku Physiology na Anatomy zikiwa zinamsubiri kwa hamu saaana.
But mdada alikuwa jasiri sana kwani kafa kifo cha kijasiri hivyo anastahili kupongezwa sana. POLENI SANA WANASUA.
 
R.I.P mwanachuo! Na B.v.M ni kozi gani!
 
B.v.m mean Barchelor of Veterinary Medicine
 

nafikiri hata kama masomo ni magumu siyo vyema kujiua! Maisha ni zaidi ya chochote hamna ujasiri hapo hata mungu hapendi!!!
 
Viongozi wa suaso mbona kimya ?? Hamna ratiba ya kuuaga mwili wa marehemu?
 

pole kwa family yake pia'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…