Civilian Coin JF-Expert Member Joined Dec 2, 2012 Posts 2,305 Reaction score 4,380 Dec 25, 2016 #1 Leo ndio sikukuu ya krismas, pale kwenu na kwa jirani yenu, kuku wengi Leo wamefariki. Taarifa zinasema maiti hizo za kuku zitazikwa kwenye kaburi la mdomo wako na kufukiwa tumboni. Cheka walau kidogo na sikukuu njema. Deogratius Kisandu.
Leo ndio sikukuu ya krismas, pale kwenu na kwa jirani yenu, kuku wengi Leo wamefariki. Taarifa zinasema maiti hizo za kuku zitazikwa kwenye kaburi la mdomo wako na kufukiwa tumboni. Cheka walau kidogo na sikukuu njema. Deogratius Kisandu.
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Dec 25, 2016 #2 Shindwa kwa jina la Yesu Kristo. Ndo uliutaka utawa wewe? Hata kama jokes si hizi vumbapu!
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,211 Reaction score 1,059 Dec 25, 2016 #3 Heading umeandika kichina,leo nimeua jogoo kubwa hiloo!wakati roho inaacha mwili chupu chupu nishindwe kulidhibiti.
Heading umeandika kichina,leo nimeua jogoo kubwa hiloo!wakati roho inaacha mwili chupu chupu nishindwe kulidhibiti.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Dec 25, 2016 #4 Huyu ndiyo Kisanduku bhana mvumilieni
Kalamu Yangu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,107 Reaction score 1,056 Dec 25, 2016 #5 Kick si akina Nisha pekee
Ukback255 Senior Member Joined Aug 31, 2016 Posts 174 Reaction score 278 Jan 5, 2017 #6 Duuuuh hatari sana