Msiba wa Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini

Msiba wa Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini

Elisante Yona

Senior Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
130
Reaction score
24
Ndugu Wanajamii,

Taarifa ambazo nimezipata asubuhi hii za kuhusu kufariki kwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini - Mama Ester Chilambo.

Poleni sana Ndugu na jamaa wa karibu na wafanyakazi wote wa Radio/TV Tumaini.

Elisante
 
poleni sana sana, namkumbuka mama huyu, kwa wale wakatoliki, alikuwa akiongoza kipindi cha karsmatiki tanzania katika radio na TV, Mungu alilaze roho ya mama Chilambo mahali pema peponi.. AMINA
 
Nilipenda makala yake ya dunia na maumbile katika gazeti la tumaini letu. Mungu amurehemu na ampumzishe mahali pema peponi.
 
RIP, Poleni wafiwa.
Mungu awape Faraja kuu!!!
 
Raha ya milele umpe Ee Bwana, Mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike kwa Amani.
RIP Mama Chilambo.
 
R.I.P MAMA Chilambo jamani!
Utakumbukwa sana kwa mengi....nashindwa hata kusimulia.
Mungu akupe pumziko la milele amen.
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe,amina!
Pole kwa wafiwa.
 
Poleni sana familia na wote wanaoguswa na msiba huu mzito.
RIP mama Ester Chilambo.
 
Poleni mno jamani mungu mwenyewe awape faraja ya kweli
 
Back
Top Bottom