Elisante Yona Senior Member Joined Oct 6, 2009 Posts 130 Reaction score 24 Mar 18, 2011 #1 Ndugu Wanajamii, Taarifa ambazo nimezipata asubuhi hii za kuhusu kufariki kwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini - Mama Ester Chilambo. Poleni sana Ndugu na jamaa wa karibu na wafanyakazi wote wa Radio/TV Tumaini. Elisante
Ndugu Wanajamii, Taarifa ambazo nimezipata asubuhi hii za kuhusu kufariki kwa aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Radio/TV Tumaini - Mama Ester Chilambo. Poleni sana Ndugu na jamaa wa karibu na wafanyakazi wote wa Radio/TV Tumaini. Elisante
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,054 Mar 18, 2011 #2 ...Poleni Wafiwa
M mja JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 310 Reaction score 64 Mar 18, 2011 #3 poleni sana sana, namkumbuka mama huyu, kwa wale wakatoliki, alikuwa akiongoza kipindi cha karsmatiki tanzania katika radio na TV, Mungu alilaze roho ya mama Chilambo mahali pema peponi.. AMINA
poleni sana sana, namkumbuka mama huyu, kwa wale wakatoliki, alikuwa akiongoza kipindi cha karsmatiki tanzania katika radio na TV, Mungu alilaze roho ya mama Chilambo mahali pema peponi.. AMINA
chitambikwa JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 3,941 Reaction score 902 Mar 18, 2011 #4 Nilipenda makala yake ya dunia na maumbile katika gazeti la tumaini letu. Mungu amurehemu na ampumzishe mahali pema peponi.
Nilipenda makala yake ya dunia na maumbile katika gazeti la tumaini letu. Mungu amurehemu na ampumzishe mahali pema peponi.
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Mar 18, 2011 #5 RIP, Poleni wafiwa. Mungu awape Faraja kuu!!!
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 20,654 Reaction score 35,887 Mar 18, 2011 #6 RIP Mama Chilambo.
TATE Member Joined Aug 11, 2010 Posts 89 Reaction score 17 Mar 18, 2011 #7 Raha ya milele umpe Ee Bwana, Mwanga wa Milele umuangazie, Apumzike kwa Amani. RIP Mama Chilambo.
Tausi Mzalendo JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 1,470 Reaction score 722 Mar 18, 2011 #9 R.I.P MAMA Chilambo jamani! Utakumbukwa sana kwa mengi....nashindwa hata kusimulia. Mungu akupe pumziko la milele amen.
R.I.P MAMA Chilambo jamani! Utakumbukwa sana kwa mengi....nashindwa hata kusimulia. Mungu akupe pumziko la milele amen.
G Gathii Senior Member Joined Feb 9, 2011 Posts 164 Reaction score 23 Mar 18, 2011 #10 Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina la bwana lihimidiwe,amina! Pole kwa wafiwa.
D dora JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 376 Reaction score 315 Mar 18, 2011 #11 Poleni sana familia na wote wanaoguswa na msiba huu mzito. RIP mama Ester Chilambo.
C chetuntu R I P Joined Jan 10, 2011 Posts 949 Reaction score 111 Mar 18, 2011 #12 Mwanga wa milele BWANA amwangazie. Amen
MVUMBUZI JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 5,182 Reaction score 2,308 Mar 18, 2011 #13 Poleni mno jamani mungu mwenyewe awape faraja ya kweli