Kwa Ndugu jamaa na wanafunzi wote walipowahi kufundishwa na Dr. Katunzi, Mwalimu maarufu kwa somo la Organisation Behaviour- OB
Tunasikitika kuwajulisha msiba wa Dr. Katunzi uliotokea jana jioni wakati akiwa
darasani anafundisha.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake Kimara Stopover karibu na kwa
Kapinga.
Ndugu wanategemea kusafirisha mwili wa marehemu kwa mazishi huko Geita, Busanda
kesho Jumamosi tarehe 2/4/2011.
Taarifa zaidi zitapatikana ikiwemo, muda na saa ya kuaga mwili wa marehemu tayari kwa kusafirisha hapo kesho
Benno, Mwanafunzi