Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

Mimi Ndio Nashanga "Ameondoka" Uchumi Wake Upo Chin Sanaaa Wkat Kaanza Sanaa Miaka Ming Nyumaa...Au Ndio Namna Kila Mtu Anavyozichanga Karata Zake?
Uchumi wake mdogo?
Umelinganisha na msanii gani labda
 
Hii Sred kila nikiiona inanikera sana.....sijui kwa nini?
 



http://www.mwananchi.co.tz/habari/M...a-Kikwete-/1597578-4373624-tqqel6z/index.html
 
Mkuu rais ni taasisi
 
si kila aombae atapewa ukielewa huu usemi hutakuwa mtu kwa lawama
 
Kumlaumu kikwete ni sawa na kumtukana mtume wa mungu
 
TANAPA.MADUKA YA KENYA NA MSUMBIJI LEO ANAMLAUMU JK..
 

ulipoona JK hajafanya kitu, wewe binafsi ulimtumia sh ngapi majuto? onyesha meseji ya mpesa

au ulifanya nini?

na watu kama majuto unafikiri ni majuto tu? hauoni wako wengi wa fani mbalimbali?

halafu sijaeleww, unamaanisha angepewa trekta asingekufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…