Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

 
Huu ndo ujinga wa watanzania. Badala ya kusema Kijiji flan kimeomba Trekta ili lisaidie shughuli za Kilimo katika Kijiji hicho unakuja hapa Kuzungumzia Majuto kuomba Trekta. We una akili kweli? Kwa style hiyo kila muigizaji akienda kuomba utakuaje? Majuto amefanya sana kazi pesa zake kapeleka wapi?tuacheni ujinga wa Bei Rahisi.
 
He was very special!
 
Hata Mimi nilishaomba baiskeli tu ili niendeleze biashara yangu ya nyanya badala ya Noah lakini mpaka leo bila bila,

Hakika lawama hizi ni zao kabisa.
 
Post ya kipambavu kabisa ambayo sijawahi ona kwa siku ya leo.
 
Pambana na hali yako acha kuilaumu serikali , kila mtu akianza kudai apewe trekta itakuwaje .

R.I.P King Majuto
 
Acha ujinga wewe. Kila mtu akitaka ombi lake litekelezwe na raisi unadhani maisha yataenda?
 

Kama kuna kitu watanzania wanakiweza vyema ni kukosoana na kuzodoana.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, mleta thread njoo uchukue jibu lako usepe
 
Tena aombe msamaha mtoa uzi huu, mzee wa watu kafanya mengi sana kwa huyu mzee Majuto.
Acha pia Mzee wetu King apumzike kwa aman.
 

Ndugu naomba nitoe povu, tena la kiwango cha grisi. Hivi una uhakika kuwa mikataba aliyoingia, hela ilikuwa inaingia kwake? na alikuwa anapokea hela sahihi kulingana na kazi yake?
 
Sio wakati wa kuzungumzia haya, waliomnyima walikua na sababu zao. Pumzika kwa Amani Mzee Majuto
 
PUMBA
 
"Angepunguza risk ya kufa mapema" asee kwa maisha ya mtanzania wa leo miaka 70 ni mingi sana, mungu amrehemu na ampe kaul thabit.
 
This is nonsense! R.I.P King Majuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…